Tuesday, 20 June 2023 08:11

Kusikiliza, Kuzungumza , Kusoma kwa sauti Questions and Answers - CBC Grade 1 Term 2 Opener Exams 2023 SET 2

Share via Whatsapp

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA  (Alama 5)

Mwalimu atamwamkua mwanafunzi kisha atamwambia, nitakuuliza maswali kisha uyajibu kimaongezi.

 1. Jina lako ni nani?   (Alama 1)
  (Mwanafunzi ajibu)
 2. Huwa unakuja shuleni asubuhi au jioni?   (Alama 1)
  (Mwanafunzi ajibu)
 3. Unapenda chakula gani?   (Alama 1)
  (Mwanafunzi ajibu)
 4. Rafiki yako anaitwaje?  (Alama 1)
  (Mwanafunzi ajibu)
 5. Una miguu mingapi?   (Alama 1)
  (Mwanafunzi ajibu)

KUSOMA KWA SAUTI    (alama 10)

Soma hadithi hii kwa sauti.

G1SKT2OS22023Q1a

Wale ni watoto wawili. Watoto hao wamesimama. Kila mtoto ana viatu. Ninaona baba. Ninaona mama. Ninaona pia kiti. Kiti ni cha sofa.
Baba ameketi. Mama pia ameketi. Viatu vya baba na mama ni safi.

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza, Kuzungumza , Kusoma kwa sauti Questions and Answers - CBC Grade 1 Term 2 Opener Exams 2023 SET 2.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.