Thursday, 03 August 2023 08:06

Shughuli za Kiswahili Ufahamu, Sarufi na Kuandika Questions and Answers - CBC Grade 1 End Term 2 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp
  1. UFAHAMU        (Alama 10)
    Soma hadithi ifwatayo kisha ujibu maswali yanayofwata  (alama 5)
                                                   GRADE1kiswahiliSET1ET22023Q8
    Kondoo huishi nyumbani. Yeye ana manyoya mengi sana. Anapenda kula nyasi. Anapenda kunywa maji safi. Kondoo wetu ana watoto. Watoto wake ni wawil. Yeye hutupa mbolea. Nampenda sana.
    1.  Kondoo husihi wapi? ________            (alama 1)                
    2. Kondoo wetu ana watoto wangapi? _______         (alama 1)  
      (watatu, wawili)
    3. Yeye hutupa? ________          (alama 1)  
      (mayai, mbolea)
    4. Kondoo anapenda kula? ______ na kunywa ______ safi.    (alama 2)

      Soma hadithi kisha ujibu maswali yafwatayo.   (alama 5)
      Kasuku  ni ndege. Manyoya yake yanapendeza. Ni mrembo sana. Anapenda kula mbegu na wadudu. Kasuku anapenda kurudia sauti anazosikia. Yeye hutoa sauti mbalimbali
      1. _____ ya kasuku yanapendeza.            (alama 1)
      2. Kasuku ni _____ sana.         (alama 1)
        (mbaya, mrembo)
      3. Taja vitu viwili ambavyo kasuku anapenda kula.
        1. _____
        2. _____
      4. Kasuku anapenda _____ sauti anazosikia
        (kurudia, kulia)
  2. SARUFI                                (ALAMA 15)
    1. Tambua maneno yenye sauti /u/ katika sentensi.   (alama)
      1. Yeye ana uzi mwembamba. _____
      2. Wao wanapika ugali._____
      3. Mimi ninaandika kwa ubao._____
    2. Andika jina la picha
      GRADE1kiswahiliSET1ET22023Q2

    3. Chagua jibu sahihi               (Alama 2)
      1. Mtu akikupa zawadi utamwambia? _______ (asante, nipe)
      2. Mwenzako akianguka chini utamwambia?_______  (karibu, pole)
    4. Andika sentensi kwa wingi.     (alama 3)
      mfano: Mimi ninacheza. Sisi tunacheza.
      1. Mimi ninaruka. _______
      2. Mimi ninasoma. _______
      3. Mimi ninakimbia. _______
    5. Jaza mapengo.       (alama3)
      1. B____ba
      2. Ndug___
      3. M____oto
    6. Andika maneno vizuri
      Mfano: aubb - babu
      1. jamo ____
      2. skaari ____

  3. KUANDIKA        (Alama 10)
    Andika maneno kumi utakayosomewa na mwalimu.
    1.  
    2.  
    3.  
    4.  
    5.  
    6.  
    7.  
    8.  
    9.  

MARKING SCHEME 

  1. UFAHAMU
    1. nyumbani
    2. wawili
    3. mbolea
    4. nyasi, maji safi
      1. manyoya
      2. mrembo
      3.  
        1. mbegu
        2. wadudu
      4. kurudia
  2. SARUFI
    1.  
      1. uzi
      2. ugali
      3. ubao
    2.  
      1. panga 
      2. kikombe
    3.  
      1. asante
      2. pole
    4.  
      1. Sisi tunaruka
      2. Sisi tuansoma
      3. Sisi tunakimbia
    5.  
      1. Baba
      2. Ndugu
      3. Mtoto
    6.  
      1. moja
      2. askari
  3. Kushugulikiwa na mwalimu.

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Ufahamu, Sarufi na Kuandika Questions and Answers - CBC Grade 1 End Term 2 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.