Friday, 03 September 2021 07:59

Kiswahili: Lugha - Grade 1 End Term 1 Exam 2021 SET 2

Share via Whatsapp
 1. KUSIKILIZA NA KUONGEA
  1. Jina lako ni nani?
   (mwanafunzi kujibu)
  2. Una umri wa miaka mingapi?
   (mwanafunzi kujibu)
  3. Unasoma katika gredi gani?
   (mwanafunzi kujibu)
  4. Mwalimu wako anaitwa nani?
   (mwanafunzi kujibu)
  5. Je, wiki moja ina siku ngapi?
   (mwanafunzi kujibu)
 2. KUSOMA KWA SAUTI
  Soma maneno haya
  1. mu
  2. kaa
  3. maua
  4. ua
  5. ama
  6. sisi
  7. makaa
  8. mkono
  9. kima
  10. kataa
  11. kitini
  12. goti
  13. paja
  14. paa
  15. uma
   Soma sentensi hizi
   1. Kima ana watoto watano.
   2. Mimi ninakata miti.
   3. kanini anakaa na kaka.
 3. MATUMIZI YA LUGHA
  Andika katika wingi
  1. Kiti         ________________________
  2. Kijiko     ________________________
  3. Mguu     ________________________
  4. Mkono   ________________________
  5. Jicho      ________________________
 4.  Andika majina ya picha hizi
  1.  
   kiti     
   __________________________
  2.  
   maua 2
   __________________________
  3.  
   cup
   ___________________________
  4.  
   ball
   ____________________________
 5. Andika maneno haya mara mbili.
  1. Mkuu _____________      ______________
  2. Uma  _____________      ______________
 6. Tumia "huyu" au "hawa" kujaza mapengo.
  1. ____________________ anakula chakula.
  2. ____________________ wanasoma kitabu.
  3. ____________________ anakata mti.
 7. Tumia silabi katika jedwali kuunda maneno.
    ma     ka   u 
    mu   ka     a 
  Mfano: ma + ka + a ___makaa
  1. ______________________
  2. ______________________

Download Kiswahili: Lugha - Grade 1 End Term 1 Exam 2021 SET 2.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.