Thursday, 05 May 2022 07:00

Kiswahili Activities Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 1 Exams 2022 SET 2

MASWALI

 1. Soma kwa sauti
  Shule ya msingi ya mabawa iko karibu na soko la mabawa na katikati ya into Eyo na Kinu. Mbele ya lango la shule kuna kivukio cha basi. Mbele ya kivukio cha basi kuna duka kubwa linaloitwa Bebabeba. Duka hili ndilo duka kubwa katika kijii hiki. Wanakiiiii wote hufulika kununua katika duka hili. Duka hill huuza bidhaa vyake kwa bei nafuu
 2. KUONGEA NA KUSIKILIZA
  1
  1. Unaona ofisi ngapi katika kituo cha polisi?
  2. Unawaona polisi wangapi?
  3. Taja vitu vitatu unavyoviona
 3. Soma hadithi kisha jibu maswaIi
  Ni vyema kuangalia usafi kila mara. Magonjwa mengi yanatokana na uchafu na chakula kichafu.
  Magonjwa yanaoletwa na maji na chakula chafu ni, kipindupindu na homa ya matumbo, na pia kuhara. Malaria husababishwa na mbu wanaokuwa kwenye vidimbwi vya maji na pia kwenye nyasi.
  Tunapaswa kuzingatia hali ya usafi. Kila mtu anapaswa kutumia kitambaa safi kutoa kamasi. Vioo pia vina paswa kuoshwa kila mara zinapochafuka.
  1. Taja magonjwa mawili yanayotokana na maji chafu
  2. Tunapaswa kuangalia nini kila mara?
  3. Ugonjwa malaria unaambukizwa na mdudu gani?
  4. Mbu wanaishiwapi na wapi?
  5. Kila mtu anapaswa kutumia kitambaa____ kutoa____
 4. Matumizi ya lugha
  Andika majina ya picha hizi
  2
  3
 5. Andika majina haya kwa herufi kubwa
  1. Ng'ombe
  2. Maneno
  3. darasa
  4. mwanasesere
  5. dhambi
 6. Tumia"huyo"au"hao"
  1. Baba____alisoma gazeti
  2. Watimu____walifunza vyema
  3. Mtoto____anatembea haraka.
  4. Polisi____waliwasaka wezi.
  5. Mkurugenzi____  alituaptia zawadi.
 7. Andika maneno kwa wingi
  1. chura
  2. kondoo
  3. karatasi
  4. ndizi
  5. mtoto
 8. KUANDIKA
  Andika maneno utakayo-somewa na mwalimu 

MARKING SCHEME

 1.      
  1. tatu
  2. wawili
  3.        
   • polisi
   • bendera
   • ofisi
   • mti
    (any 3)
 2.      
  1.    
   • kipindupindu
   • homa ya matumbo
  2. hali ya usafi
  3. mbu
  4.      
   • vidimbwi vya maji
   • kwenye nyasi
  5. safi, kamasi
 3.      
  • mfuko
  • jua
  • panga
  • paka
  • nanasi
 4.         
  • NG'OMBE
  • MANENO
  • DARASA
  • MWANASERERE
  • DHAMBI
 5.         
  • huyo
  • hao
  • huyo
  • huyo
  • huyo
 6.      
  • vyura
  • kondoo
  • makaratasi
  • ndizi
  • watoto

Please download this document as PDF to read all it's contents.

Why PDF Download?

 • You will have the content in your phone/computer to read anytime.
 • Study when offline.(No internet/data bundles needed.)
 • Easily print the content to hard copy.

Read 656 times Last modified on Thursday, 05 May 2022 10:01