Tuesday, 28 March 2023 12:24

Shughuli za Kiswahili Kusoma kwa Sauti Questions and Answers - CBC Grade 2 Term 1 Midterm Exams 2023 SET 1

Share via Whatsapp

MASWALI

1. Nitakusomea hadithi kisha nitakuuliza maswali. Sikiliza kwa makini.

Mwalimu ni mtu anayefunza wanafunzi. Mwalimu wetu anaitwa Bi. Aisha. Yeyeni mwalimu wa kike. Ana miaka thelathini na mitano. Mwalimu wetu ni mrefu. Yeye ni mnene. Rangi yake ni nyeusi. Wanafunzi wote wanampenda mwalimu wetu.

  1. Mwalimu ni nani?
    (Mwanafunzi ajibu)
  2. Mwalimu wetu anaitwa nani?
    (Mwanafunzi ajibu)
  3. Yeye ana miaka mingapi?
    (Mwanafunzi ajibu)
  4. Mwalimu wetu ana rangi gani?
    (Mwanafunzi ajibu)

2. KUSOMA KWA SAUTI (Alama 10)
Soma hadithi hii kwa sauti
Babu alitusimulia hadithi kuhusu lishe bora. Alituambia kuwa mihogo. mtama, maharagwe na viazi vitamu vinaongezea milli yetu nguvu. Alituambia tule matunda kama parachichi, papai, tufaha na mopera. Pia, alitueleza kuwa tuwe watoto ambao wanakula mboga kama vile minavu, mchicha na kabeji. Alitusisitizia kuwa mboga na matunda hukinga miili yetu dhidi ya magonjwa. Alimalizia kwa kusema lishe bora afya bora.

Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Kusoma kwa Sauti Questions and Answers - CBC Grade 2 Term 1 Midterm Exams 2023 SET 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.