Friday, 14 April 2023 07:31

Shughuli za Kiswahili Ufahamu, Sarufi na Kuandika Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 1 Exams 2023 SET 2

Share via Whatsapp

UFAHAMU (Alama 10)

 1. Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata (alama 5)
  Grade2kswtgtrqn1
  Rehema ni msichana ambaye anapenda kucheza. Siku moja alienda kucheza kichakani. Alihisi njaa kali hadi akaanza kulia. Bi Mariam alijitokeza "Mbona unalia?", Bi Mariam aliuliza. "Ninahisi njaa kali," Rehema alijibu. Bi Mariam alimpeleka Rehema nyumbani kwake na kumpikia uji kwa viazi vitamu. Rehema alimshukuru. Bi Mariam alimwambia asiwe akicheza kichakani peke yake. Hii ni kwa sababu ni hatari sana.
  1. Rehema alipenda nini? (alama 1)
  2. Kwa nini Rehema alilia? (alama 1)
  3. Taja vyakula ambavyo Rehema alipikiwa na Bi. Mariam             na            (alama 2)
  4. Bi. Mariam alimwambia Rehema asichezee wapi? (alama 1)
   (uwanjani, kichakani, shuleni)
 2. Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo.
  Grade2kswtgtrqn2
  Hapo zamani za kale paliishi mfalme aliyeitwa Karimu. Mfalme Karimu alipenda kuwasaidia wananchi wake. Aliwapa maskini chakula, dawa na hata mavazi. Wananchi walimpenda sana Mfalme Karimu. Mfalme huyu alikuwa na mtoto mmoja wa kike. Msichana huyo aliitwa Lulu. Mfalme alimpenda Lulu sana.
  1. Taja jina la mfalme kwenye hadithi, (alama 1)
  2. Andika vitu vitatu ambavyo mfalme aliwasaidia wananchi wake navyo.(alama 3)
  3. Mtoto wa Mfalme aliitwa nani? (alama 1)

SARUFI (alama 15)

 1. Tenganisha silabi za maneno yafuatayo (alama 5)
  1. Maridadi
  2. bendeji
  3. gwaride
  4. mafuta
  5. madirisha
Join our whatsapp group for latest updates

Download Shughuli za Kiswahili Ufahamu, Sarufi na Kuandika Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 1 Exams 2023 SET 2.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.