Friday, 19 May 2023 11:54

School Based Assessment Kusikiliza, Kusoma na Kuzungumza Questions and Answers - CBC Grade 2 Term 2 Opener Exams 2023 SET 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA A:

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Kesho Juma ataenda sokoni na mamake. Mama yake atanunua matunda, mboga na nafaka. Wataenda sokoni kutumia gari la moshi. Juma hupenda kwenda sokoni.

  1. Ni nani ataenda sokoni kesho?
  2. Juma ataenda na nani sokoni?
  3. Taja vitu viwili mama atanunua.
  4. Wewe unapenda kwenda sokoni?

SEHEMU YA B: SOMA KWA SAUTI

Talia na Nyani

Asubuhi moja, mamake Talia alimtuma dukani kununua maziwa na mkate. Mama alimpatia pesa, pia
alimpatia embe ili ale akiwa njiani. pale njiani, Talia alimwona Nyani juu ya mti. Nyani aliruka na kwenda
njiani.

Talia aliogopa sana. Nyani alimrukia akatuka kuchukua embe lake. Talia alikimbia lakini Nyani akamfuata mbio mbio sana.

Join our whatsapp group for latest updates

Download School Based Assessment Kusikiliza, Kusoma na Kuzungumza Questions and Answers - CBC Grade 2 Term 2 Opener Exams 2023 SET 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.