Thursday, 05 October 2023 07:07

Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 2 Mid Term 3 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA A:

SEHEMU YA 1:

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Mwalimu atamwuliza mwanafunzi maswali yafuatayo. Kila mwanafunzi atajibu kwa Kiswahili.

  1. Kwa majina unaitwaje? ____________________________________
  2. Je, unapenda chakula gani? ____________________________________
  3. Kwa nini unapenda chakula hicho? ____________________________________
  4. Taja vyakula vitatu tunapata kwa wanyama. _____________________, ___________________, ____________________
  5. Mnyana gani hutaga mayai? ____________________________________
  6. Ng'ombe utupatia vyakula kama gani?

SEHEMU YA 2:

KUSOMA KWA SAUTI

Soma hadithi hii kwa sauti;

Hapo zamani za kale, hali ya anga ilikuwa vizuri sana. Hewa ilikuwa safi, maji safi na mvua nyingi.

Watu wameharibu anga kwa matendo yao. Saa hii hata mvua ni kidogo. Miti zakatwa ovyo ovyo.

Wanyama wa pori pia wanakufa kwa sababu ya njaa. Tunaomba serikali yetu itusaidie.

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 2 Mid Term 3 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.