Friday, 19 May 2023 12:01

School Based Assessment Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - CBC Grade 3 Term 2 Opener Exams 2023 SET 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA KWANZA: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Mwalimu anamwamkua mwanafunzi. Mwanafunzi anamjibu. Mwalimu  anamwambia mwanafunzi akaechini. Mwalimu anasema,

"Mimi ni Bwa/Bi  Ningependa kukusimulia kisa kilichotendeka halafu nikuulize unieleze yale ungefanya.

Siku moja wanafunzi wa Gredi ya tatu walimwona mbu mmoja akipaa ndani ya darasa lao kisha wakaanza mjadala kuhusu mdudu huyo. Walisema kuna aina ya mbu ambaye hueneza ugonjwa fulani. Pia waliweza kusema jinsi ya kuzuia ugonjwa huo.

  1. Aliyeonekana akipaa ndani ya darasa ni mdudu aina gani?
  2. Mdudu huyu hueneza ugonjwa wa aina gani?
  3. Je, unaweza kujikinga dhidi ya ugonjwa huu kupitia njia gani?
  4. Taja dalili za ugonjwa huu unaoenezwa na mbu
  5. Mtu akipatikana na ugonjwa huu anafaa afanye nini?

SEHEMU YA PILI: KUSOMA KWA SAUTI

USAFI

Ni vyema kuangalia usafi kila mara. Magonjwa mengi yanatokana na uchafu. Kwa mfano, taka na maji machafu yanaweza kuleta kipindupindu na Homa ya Matumbo. Malaria husababishwa na mbu wanaojificha kwenye nyasi. Tunapaswa kutumia kitambaa safi tunapopiga chafya ama tukiugua mafua ili tusiwaambukize wenzetu. Kunawa mikono kila tunapotoka msalani ni jambo muhimu.

Join our whatsapp group for latest updates

Download School Based Assessment Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - CBC Grade 3 Term 2 Opener Exams 2023 SET 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.