Tuesday, 02 November 2021 08:39

Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 3 End Term 2 Exams 2021 SET 1

Share via Whatsapp

Imla.
Andika maneno haya vizuri.

  1. Niama ____________________________
  2. Faiuta ____________________________
  3. Vuliutu _____________________________
  4. Fuiuti ______________________________
  5. Ndozaule ____________________________

Jaza nafasi ukitumia maneno uliyopewa.

Mzee Katama ni ____________1________. Yeye ana ______2_________ wawili na bibi mmoja. Mzee Katama analo ______3_________ kubwa sana. Yeye huenda shambani_______4_______. Mzee katama hutumia __________5_________ kulima, na anatumia _______6__________ kupalilia chakula. Mzee katama hutumia _______7__________ kukata ua linalo mea zaidi hasa wakati wa mvua. Shambani humo mna miti ambayo hukatwa kama kuni kwa kutumia _______8__________. Nyumbani
kwake amepanda nyasi ambayo yeye hufyeka kwa kutumia __________9_________. Shambani mwa mzee Katama huwa na _______10___________ si haba kwani yeye hakubali magugu na makwekwe yatawale.

  1.  
    1. Mwalimu
    2. Mkulima 
    3. Mzazi 
    4. Mlinzi
  2.  
    1. Viatu
    2. Miti
    3. Watoto
    4. Ndege
  3.  
    1. Shamba
    2. Darasa 
    3. Nyumba 
    4. Nguo
  4.  
    1. Kuoga 
    2. Kulima
    3. Kutembea
    4. Kulia
  5.  
    1. Mkono 
    2. Kalamu
    3. Jembe
    4. Kijiko
  6.  
    1. Uma
    2. Jiko
    3. Panga
    4. Kiatu
  7.  
    1. Kisu 
    2. Panga 
    3. Shoka
    4. Jembe
  8.  
    1. Panga
    2. Shoka
    3. Kisu
    4. Wembe
  9.  
    1. Kisu 
    2. Wembe 
    3. Kifyekeo 
    4. Shoka
  10.  
    1. Mazao 
    2. Maua 
    3. Chakula
    4. Mchanga.

Tumia a au wa

  1.  
    Grade 3 CBC swa ET2 2021 F1 Grade 3 CBC swa ET2 2021 F2
  2.  
    Grade 3 CBC swa ET2 2021 F3   
     Grade 3 CBC swa ET2 2021 F4

Tumia yeye au wao.

  1.  _____________ ataenda shule kesho.
  2.  _____________ watarudi nyumbani.

Andika kwa wingi.

  1. Msichana atafua nguo. __________________________________________
  2.  Mpishi atapika chakula. __________________________________________

Unda maneno ukitumia silabi.

  1. mwa. ___________________________________
  2. nde ____________________________________

Andika silabi kutokana na maneno haya.

  1. mwanasiasa _______________________________
  2. ndimu ___________________________________

Taja rangi mbili za bendera ya Kenya.

  1.  _______________________________
  2.  ______________________________

Paka bendera ya Kenya rangi zinazofaa.23-26
Grade 3 CBC swa ET2 2021 F5

Jaza pengo kwa jibu sahihi.

  1. Tabia _________________ ni mzuri. (chake, zake)
  2. Simu _______________ ni mpya. (yake, wake)

Jaza nafasi katika wimbo wa taifa.

Ee Mungu 29. ____________ yetu
Ilete baraka 30.___________
Haki iwe 31. ____________ na mlinzi
Natukae na 32. _________________
33. _____________ na uhuru
Raha tupate na 34.______________.



MARKING SCHEME

  1. Inama
  2. Ifuata
  3. Utulivu
  4. Utiifu
  5. Uzalendo
  1. B
  2. C
  3. A
  4. B
  5. C
  6. A
  7. B
  8. B
  9. C
  10. A
  11. a, wa
  12. a, wa
  13. yeye
  14. wao
  15. Wasichana watafua nguo.
  16. Wapishi watapika vyakula.
  17. mwalimu, mwanafunzi,
  18. ndege, nderemo
  19. mwa-na-si-a-sa
  20. ndi-mu
  21. Nyeupe, nyeusi
  22. Kijani kibichi, nyekundu 
  23.  
  24.  
  25.  
  26.  
  27. zake
  28. yake
  29. nguvu
  30. kwetu
  31. ngao
  32. udugu
  33. amani
  34. ustawi
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 3 End Term 2 Exams 2021 SET 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.