SEHEMU YA A:
SEHEMU YA 1:KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Mwalimu atamuuliza mwanafunzi maswali yafuatayo mwanafunzi ayajibu vilivyo .
- Hujambo ?
- Uhaligani ?
- Jina lako ni nani?
- Una umri wa miaka mingapi ?
- Uko gredi gani ?
SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI
- Paka anaona kima .
- Paka anawatotowatatu .
- Kima ana mikia mitatu.
- Watoto wa paka wanalala.
- Kima ana kisu kizuri .