Wednesday, 30 August 2023 12:10

Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - CBC Grade 1 Term 3 Opener Exams 2023 SET 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA A:

SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Mwalimu atamuuliza mwanafunzi maswali yafuatayo, Mwalimu amwamkue mwanafunzi na amwambie.

Nitakuuliza maswali yafuatayo na uyajibu kwa Kiswahili.

  1. Habari yako? ___________________________________
  2. Unaitwaje? ___________________________________
  3. Unapenda chakula gani sana? ___________________________________
  4. Ninani huwapikia chakula nyumbani? ___________________________________
  5. Jana usiku ulikula chakula gani? ___________________________________
  6. Kabla ya kuanza kula unafaa ufanye nini? ___________________________________

SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI

Mwalimu wetu ni Bi. Rehema. Hutuandikia kazi ubaoni. Mwalimu wetu ametufunza umuhimu wa kuamkuana na kusaidiana. Pia ametufunza kuliweka darasa letu liwe safi. Sisi tunampenda mwalimu wetu sana. Tuko katika gredi ya kwanza.

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - CBC Grade 1 Term 3 Opener Exams 2023 SET 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.