Wednesday, 04 October 2023 06:32

Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 1 Mid Term 3 Exams 2023 Set 1

Share via Whatsapp

SEHEMU YA A:

SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Mwalimu atamwuliza kila mwanafunzi maswali yafuatayo. Mwanafunzi ajibu kwa Kiswahili.

  1. Hujambo?
  2. Kwa majina unaitwa nani?
  3. Nani hukuleta shuleni?
  4. Wewe, unapenda mchezo gani?
  5. Mwalimu Mkuu wa shule yetu anaitwa nani?
  6. Je, uko na vidole vingapi?
  7. Meno yako iko na rangi gani?

SEHEMU YA B: KUSOMA KWA SAUTI

Soma hadithi hii kwa sauti

Zainabu na mama yake wanaenda sokoni. Mama yake Zainabu amebeba mkoba na mtungi ya mafuta.

Soko yao iko karibu na mlima. Wanaenda kununua vyakula kama viazi tamu, mboga ya kienyeji, vitunguu, nyanya na pilipili hoho, kisha wanarudi nyumbani kwa pikipiki.

Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 1 Mid Term 3 Exams 2023 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


.