Friday, 22 April 2022 07:46

Shughuli za Kiswahili Homework Activities - CBC Grade 2

Share via Whatsapp

SHUGHULI ZA KISWAHILI
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Mwanafunzi atasomewa maneno kisha ayaandike kwenye mapengo
Imla (maneno yamo kwa kitabu cha kusahihisha)

 1. ________
 2. ________
 3. ________
 4. ________
 5. ________
 6. ________
 7. ________
 8. ________
 9. ________
 10. ________
 11. ________
 12. ________
 13. ________
 14. ________
 15. ________

Mwanafunzi asome maneno haya kwa sauti
Ganda
Fedheha
Nyimbo
Dodoki
Vuka
N'goa
Majani
Chuma
Ng'ara
Anaringa
Dharau
Bahatisha
Panya
Gharama
Themanini

Mwanafunzi azisome sentensi zifuatazo

 1. Sherehe Monza thenashara.
 2. Mbwa wanang'ang'ania nyama ghali.
 3. Acha kufanya dhambi.
 4. Alivua nguo halafu akafua.
 5. Godoro Una doa.
 6. Jana niliona reli.

Mzazi au mlezi amsomee mwanafunzi taarifa hii kwa sauti mara mbili kisha amwulize maswali

Siku moja msimu uliopita tuliamka asubuhi na mapema kabla ya mapambazuko. Ilikuwa ni siku ya Ijumaa. Mama alitupikia chai kwa kwa viazi vitamu. Familia yote ilienda shambani kuvuna maharagwe. Baada ya kuvuna tuliyaweka kwenye magunia. Punda wetu wawili waliyabeba magunia hayo hadi sokoni. Baba aliyauza na kupata fedha nyingi. Alitununulia matunda na nguo nzuri.

Mwanafunzi ajibu maswali kwa sauti. Weka alama () akipata na (x) akikosa

 1. Mwandishi na familia yoke walienda kuvuna siku ya
 2. Taja siku nyingine tatu za Juma
 3. Mama alipika nini?
 4. Ni mnyama yupi aliyetajwa kwenya kifungu?
 5. Watu huenda sokoni kufanya nini? Taja sababu mbili

Jibu maamkizi haya

 1. Ukifika shuleni asubuhi utamsalimia rafiki yako vipi?
 2. Ukifika nyumbani jioni utamsalimia baba yako vipi?
 3. Umeamka vipi?
 4. Sabalkheri ni salamu za
 5. "Umeamka vipi?" Ni maamkizi ya wakati gani?
 6. Habari za asubuhi?
 7. Taja vifaa hivi vinavyopatikana shuleni hasa darasani
  1
 8. Zifuatazo ni haki za watoto zitaje
  2.png
 9. Taja haki nyingine inayokuhusu
 10. Je, unasafiria vyombo gani?
  3
 11. ________hufanya mifupa kuwa na nguvu. (biskuti, maziwa)
 12. Vyakula vya________ hutupa nguvu mwiti (vitamin, protini)
 13. ________ni vyakula ambavyo huzuia magonjwa mwilini (wanga, vitamini)
 14. Mayai ni mfano wa chakula cha________(protini, mboga)
 15. Nanasi ni mfano wa chakula cha________(wanga, vitamini)
 16. Linganisha majina katika sehemu na picha
  4
 17. Unaona kitu gani katika hall hii ya hewa________
  5
 18. Dalili ya mvua ni nini?
 19. Chora vitu viwili vinavyopatikana angani
 20. Kuna hatari gani mtu akichezea barabarani?
 21. Je, ajali nyingi barabarani husababishwa na nini?
 22. Uking'atwa na nyuki utahisi________(uchungu, utamu)
 23. Ukivuka barabara ni vizuri kutumia (kivukomilia, milia)
 24. Mtu huyu alipopata ajali alifanya nini?
  6

KUANDIKA

 1. Ambatanisha jina na mchoro
  7
 2. Andika silabi zinazofaa kwenye mapengo
  1. ___je ji___ ju
  2. da de di ___ ___
  3. ra___ ri___ ___
  4. ___ ___ gi go gu
  5. pa pe ___ po pu
  6. ___ ___ ___ nyo nyu
 3. Tambua sauti /v/, /f/, /ng'/, /dh/ katika sentensi hizi
  1. Ng'ombe walivamia shamba la mahindi
  2. Fahali wawili wanaruka kwa furaha
  3. Watu wakubwa wasiwadhulumu watoto
  4. Shangazi alinunua vikombe vipya
  5. Visu vya dhahabu ni vyema zaidi
 4. Unganisha silabi hizi iii kuunda maneno kisha uyasome
  1. Vu + mi + + a =
  2. Chi + ri + ku =
  3. Dhi + hi + ri + sha=
  4. Ki + dhi =
  5. Fa + ra + gha =
 5. Panga maneno haya vizuri
  1. kuchala
  2. bhumca
  3. ihca
  4. cahmo
  5. ainhreech
 6. Onyesha konsonati kati ya herufi hizi
  1. a b ch d e f g gh h i j k l m n o p 
  2. Lugha ya Kiswahili ina irabu au vokali ngapi?
  3. Jaza mapengo a i
  4. Onyesha konsonati katika maneno haya
   1. Chupa: 
   2. Inama:
   3. Pokea:
   4. Shamba:
   5. Mvua:
 7. Andika maneno yanayoanza kwa herufi hizi
  1. r
  2. v
  3. sh
  4. ny
  5. k
 8. Onyesha silabi za maneno haya
  1. Thelathini 
  2. Mwalimu
  3. Niting'atwa
  4. Msichana
  5. Shangilia
 9. Pigia mstari sauti sh na th katika kifungu hiki
  Shemeji yake anaitwa shaka. Atitumwa dukani na shilingi elfu moja kununua vitu vya thamana kubwa. Kila mtu atipata theluthi ya vitu hivyo. Alibakisha shilingi themanini. Tulienda nje kutazama thurea ya nyota. Tulihisi baridi. Tukaingia chumbani na kukata kuni kwa shoka.
 10. Jaza mapengo 
  _____(nyumba, numba) yetu ni kubwa. Mama anafuga_____b) (gombe, ng'ombe) wengi. Wao hula _____c)(majani, chakula). Mtoto wake ni_____(d) (ndama, kagombe). _____(e)( (yeye,sisi) analala zizini.
 11. Tumia maneno haya kujaza mapenao
  Ghorofa, Dhahabu, Ghali, Ghala
  Sisi tunaishi kwenye nyumba ya _____1. Kuna vitu vya bei_____2. Vingine vimetengenezwa kwa _____3.Hapo kando nyanya ana_____4 anapoweka mazao ya mahindi.
 12. Andika sentensi saba kuhusu picha hii
  8

KUSOMA

 1. Soma ufahamu kisha ujibu maswall
  Shute ya msingi ya Karoti ina wanafunzi wengi. Jumla yci wanafunzi wa darasa to kwanza ni mia moja. Idadi yci wasichana wa darasa la kwanza ni arubaini no wanane. Idodi ya wavulana ni hamsini na wawili. Jumla ya wanafunzi \No darasa La pili ni tisini. Wasichana wa darasa la pili ni themanini. Wanafunzi wa darasa la tutu ni mia moja na saba. Idadi ya wasichana wa darasa La tatu ni sabini na sita. Jumla y0 wanafunzi wa shule ya Karoti ni mia tano.
  Maswali
  1. Ambatanisha nambari hizi za A na B kwa usahihi
   27   Tisa
   13   Thelathini na mbili
   9     Ishirini na saba
   43    Kumi na tatu
   32    Arubaini na tatu
  2. Wanafunzi wa darasa la kwanza ni wangapi?
  3. Wavulana wa darasa la kwanza ni wangapi?
  4. Shule ya karoti ina jumla ya wanafunzi wangapi?
  5. Idadi ya kitu hiki kwa nambari; Kondoo wanne
 2. Soma hadithi hii kisha ujibu maswali
  Hapo zamani za kale watu walitumia njia tofauti za usafiri. Watu wengi watitembea muda mrefu kwa miguu. Wengine walitumia wanyama kwa usafiri wao na mizigo yao. Watu walioishi karibu na mto, bahari na maziwa walitumia dau na mtumbwi. Mbati na kutembea, siku hizi watu wantumia aina mbali za magari, eropieni, baiskeli na pikipiki. Usafiri wa majini; pia umeendelea sana. Siku hizi kuna meti, feri, na manowari. Manowari hutumiwa sans nu majeshi ya wanamaji vitani.
  9
  Maswali
  1. Zamani watu walitumia njia ______(tofauti, nzuri)
  2. Taja njia moja ya usafiri iliyotumiwa zamani______
  3. Watu walioishi karibu no mito walitumia ______kusafiri.
  4. Manowari hutumiwa na______
  5. ______husafiria juu ya reli.
 3. Soma hadithi hii kisha ujibu maswali
  Ni ukweli atama za barabarani ni muhimu kwa watu wote wanaotumia barabara. Wote wanaotembea kwa miguu, wanaoendesha baisketi na madereva wa magari wanafaa kuzingatia alama hizo. Alama ya kivukio cha watoto huwekwa karibu na shule. Ni hatari watoto kucheza barabarani. Alama nyingine ni herufi H ambayo huonyesha hospitali. Dereva hapaswi kupiga honi ovyo ovyo karibu na shute au hospitali. Watu wakifuata sheria na alma za barabarani ajali zitapungua
  10
  Maswali
  1. Chora alama go kuonyesha "pindi kulia"
  2. Taja makundi mawili ya watu wanaotumia
   barabarai
  3. Ni hatari watoto kukimbizana barabarani (ndio,la)
  4. Nani hafai kupiga honi ovyo ovyo

SARUFI

 1. Jaza mapengo kwa kutumia hill na Qhni bivu.
  1. Embe______ni bivu
  2. Madawati______yameharibika.
  3. Nitayakata majani______
  4. Yai______limevunjwa na mtoto.
  5. Pazia______lina rangi nzuri.
 2. Andika wingi wa sentensi hizi
  1. Tunda hill
  2. Chungwa hili
  3. Gari hili
  4. Zulia hill zuri
  5. Kaa hill
 3. Jaza mapengo kwa kutumia hiki au hivi
  1. Chumba ______kimeoshwa.
  2. Vifutio______vitatumika.
  3. Mtoto atatalia kitanda______
  4. Vyombo______ni safi.
  5. Chakula______kitaliwa chote.
 4. Andika umoja wa sentensi hizi
  1. Viti hivi.
  2. Viatu hivi.
  3. Vitabu hivi.
  4. Viambaza hivi.
  5. Vikombe hivi
 5. Tumia wewe, u,Ii, nyinyi au m kujaza mapengo
  1. Ni nani a______yerntembelea babu?
  2. ______unapenda kula wali
  3. ______ni akina nani?
  4. Wewe uta______pelekea barua hii.
  5. Wewe______tasoma kitabu hiki
  6. ______ni wazuri sana
  7. Ata______shonea nguo tena.
  8. M______ cheza uwanjani
  9. Utaenda shuieni______?
  10. ______tatandika kitanda chako
 6. Andika wingi wa sentensi
  1. Wewe utianguka.:
  2. Wewe ulisoma:
  3. Wewe uliandika:
  4. Wewe uliimba:
  5. Wewe ulikula:
 7. Jibu maswati kwa litigo au two
  1. Mdudu______anauma
  2. Ng'ombe______wamepelekwa malishoni
  3. Jogoo______anawika
  4. ______wanacheza soka.
  5. ______ni nani?
 8. Chagua jibu sahihi
  1. Mtoto______analia sana (hao, huyo)
  2. Wanyama______ni hatari. (huyo, hao)
  3. Simba______ananguruma. (huyo, hao)
  4. ______ni wajomba wetu. (hao, huyo)
  5. Ni neno gani linatumika kuonyeshea rafiki yako akiwa mbali? ______(hao, huyo).
 9. Tunga sentensi fupi kwa kutumia maneno haya
  1. Kula:
  2. Omba:
  3. Cheza:
  4. Ruka:
  5. Fua:
 10. Tazama maneno haya kisha uchukue yale yanayoonyesha vitendo na kuweka kapuni.
  11
  paka
  simama
  cheka
  kisu
  mrefu
  keti
  cheti
  oga
  mkubwa
  mnene
  andika
  tembea
  lia
  mekoni
  soma
 11. Tumia herufi kubwa- panapofaa
  1. maria na mariamu wameenda mombasa 
  2. Kenya ni nchi yetu.
  3. anaenda nakuru kutembea
  4. baba anafanya kazi
  5. James analala
 12. Kamilisha sentensi kwa kutumia vibaya au vizuri
  1. Watoto watumie kalamu zao
  2. Usiimbe
  3. Mwanafunzi amesoma ______mwalimu akafurahi
  4. Alicheza______ akaanguka
  5. Nyumba imejengwa______
   12

MSAMIATI
Jibu maswali yote

 1. ______inapepea kwenye mlingoni
  13
 2. Wanafunzi husomea kwenye
 3. Watu hutumia ______kuandikia
  14
 4. Mimi huketi kwenye______
  15
 5. Sisi huenda kwenye______kila ijumaa
  16
 6. Wazazi wetu hutupeleka______kusoma. (shuleni, shambani)
 7. Sisi hupata______(chakula bora, chakula kibaya)nyumbani
 8. Mtoto ana haki ya kupewa______akiwa mgonjwa(matibabu, tabibu)
 9. Mtoto______(hucheza, hupigana) na watoto wengine
 10. Tunaishi katika mazingira______(safi,machafu)
  17
 11. Ni nani huwapikia chakula nyumbani
 12. Taja watu wawili wa kike katika familia
 13. ______ni dada wa baba
 14. ______ni baba ya mzazi wako.
 15. ______ni dada ya mama
 16. Taja vyombo vya kusafiri hewani
 17. Taja vyombo vya kusafiri majini
 18. Taja vyombo vya kusafiri barabarani
  18
 19. Unaona alama gani kwenye picha hii______
 20. Unafaa kufanya nini kabla ya kuvuka barabara?
 21. Mbona ni vizuri zaidi kuvukia barabara hapa?
 22. Wewe huvukia barabara wapi?
 23. Usivuke mto ambao umefurika kwa sababu unaweza______majini.
 24. Wanyama wa nyumbani huitwa______
 25. Paka rang nii wanyama hawa wa nyumbani
  19
 26. Taja hall hizi za hewa
  20
 27. Hivi ni vyakuta gani?
  21


MAJIBU

Kusikiliza na kuzungumza

 1. 1. -15: imla kusoma
 1. Ijumaa
 2.      
  1. Jumatatu
  2. Jumanne
  3. Jumatano
  4. Alhamisi
  5. Jumamosi
  6. Jumapili
 3. Chai kwa viazi vitamu
 4. Punda
 5.      
  1. kuuza bidhaa
  2. kununua vitu
 6.        
  1. hajambo?
  2. habariyako
 7. hujambo baba?
 8. Vizuri au vyema
 9. Asubuhi
 10. Asubuhi
 11. Njema au nzuri
 12.      
  1. dawati
  2. chaki
  3. kitabu
  4. kalarnu
  5. kifutio
  6. begi/shanta
 13.      
  1. haki ya kucheza
  2. haki ya kupewa jina
  3. haki ya lishe bora
 14. haki ya kuishi
 15.        
  1. meli
  2. ndege
  3. pikipiki
  4. basi
 16. maziwa
 17. vitamini
 18. vitamin
 19. protini
 20. vitamini
 21. Kuambatanisha
 22. Mvua
 23. Mawingu
 24. Jua, mwezi, mawingu, nyota
 25. Anaweza  kupata ajali
 26. Kutofuata sheria
 27. Uchungu
 28. Kivukomilia
 29. Alivunjika miguu

KUANDIKA

 1. Ambatanisha
 2.      
  1. ja, jo
  2. do, du
  3. re, ro, ru
  4. ga, ge
  5. pi
  6. nya, nye, nyi
 3.      
  1. Ng, iv,
  2. Fa, f
  3. dh
  4. vi
  5. vi
 4.      
  1. Vumilia
  2. Chiriku
  3. Dhihirisha
  4. Kidhi
  5. Faragha
 5.      
  1. Chakula
  2. Chumba
  3. Chai
  4. Choma
  5. Cherehani
 6.        
  1. b, ch, d, f, g, gh, h, j, k,l,
  2. tano
  3. e, o
  4.      
   1. Ch, p
   2. nm
   3. P, k
   4. sh, m, b
   5. m, v
 7.        
  1. rula
  2. viazi
  3. shamba
  4. nyta- ba
  5. kiatu
 8.        
  1. The la thi ni
  2. Mwa li mu
  3. Ni li ng'a twa
  4. m si cha na
  5. Sha ngi li a
 9. Sh, sh, sh, th,
  th, th, sh, sh,
  th, th, sh.
 10.        
  1. Nyumba
  2. ng'ombe
  3. nyasi,
  4. ndama
  5. yeye
 11.      
  1. Ghorofa
  2. Ghali
  3. dhahabu
  4. ghala
 12.      
  1. Huyu ni pund.
  2. Punda ni mnyama wa nyumbani
  3. Punda hubeba mizigo mizito
  4. Punda hula nyasi
  5. Punda pia hupewa nyasi
  6. Punda akiwa nigonjwa hupewa dawa
  7. Watu wengine hupenda kumpiga puncla

KUSOMA

 1.      
  1. Mia moja
  2. Hamsini na wawili
  3. mia tano
  4. wanne
 2.      
  1. Tofauti
  2. Wanyarna, dau, Mtumbwi, Miguu
  3. dau, mtumbwi
  4. majeshi
 3.      
  1. kuchora
  2.      
   1. wanaotembe kwa miguu
   2. waendesha baskeli
   3. madereva wa magari
  3. ndio
  4. dereva

SARUFI

 1.      
  1. hili
  2. haya
  3. haya
  4. hili
  5. hili
 2.      
  1. Matunda haya
  2. Machungwa haya
  3. Magari haya
  4. mazulia haya mazuri
  5. makaa haya
 3.      
  1. hiki
  2. hivi
  3. hiki
  4. hivi
  5. hiki
 4.      
  1. Kiti hiki
  2. Kiatu h iki
  3. Kitabu hill
  4. Kiambaza hiki
  5. Kikombe hiki
 5.    
  1. li
  2. Wewe
  3. Nyinyi
  4. m
  5. u
  6. Nyinyi
  7. m
  8. li
  9. Wewe
  10. U
 6.        
  1. Nyinyi mlianguka
  2. Nyinyi mlisoma
  3. Nyinyi mliandika
  4. Nyinyi mliimba
  5. Nyinyi mlikula
 7.      
  1. huyu
  2. hao
  3. huyu
  4. Hao
  5. Huyu
 8.      
  1. huyo
  2. hao
  3. huyo
  4. Hao
 9.      
  1. Kula chakula
  2. Omba Chakula
  3. Cheza vizuri
  4. Ruka juu
  5. fua nguo
 10.        
  • Lia
  • Simarna
  • oga
  • andika
  • cheka
  • keti
  • ternbea
  • soma
  • paka
 11.        
  1. Maria na Mariamu wanieenda Mombasa
  2. Kenya ni nchi yetu
  3. Anaenda Nakuru kutembea
  4. Baba anafanya kazi
  5. James analala
 12.      
  1. Vizuri
  2. Vibaya
  3. Vizuri
  4. Vibaya
  5. Vizuri au vibaya

MSAMIATI

 1. Bendera
 2. Shule au darasa
 3. Kalamu
 4. Dawati
 5. Gwaride
 6. Shuleni
 7. Chakula bora
 8. Matibabu
 9. Hucheza
 10. Machafu
 11. Mama
 12.      
  1. dada, mama
  2. nyanya shangazi
 13. Shangazi
 14. Babu
 15. Halati
 16.        
  1. Ndege
  2. Helikopta
 17.      
  1. Mtumbwi
  2. dau
  3. Meli
 18. Basi, gari
 19. Kirukio cha umma
 20. Hakikisha bakuna ma gari
 21. Magari husimama
 22. Kivukio cha umma
 23. Kuzama
 24. Howa
 25. Kupaka rangi
 26.      
  1. Mawingu
  2. Upepo
  3. jua
 27.        
  1. Nanasi
  2. Sainaki
  3. Ndizi
  4. Mkate
  5. Kabeji
  6. Viazi au mbatata

Download Shughuli za Kiswahili Homework Activities - CBC Grade 2.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.