Wednesday, 18 May 2022 06:20

Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 6 End of Term 1 Exams 2022 Set 1

Share via Whatsapp

Maswali

SEHEMU YA A

Zoezi La 1: Kusikiliza Na Kuzungumza
Mwalimu amwamkue mwanafunzi nn kumwomba akar. Mwalimu ajitambulishe.

"Mimi ni mwalimu ____________ . Nitakusimulia kisa kisha nikuulize rnaswali kukihusu."

Katika miaka ya hivi karibuni, familia nyingi zimekuwa zikihangaika kutokana na uhaba wa mapato ya kutosha kuyakimu mahitaji muhimu. Ni kweli kuwa
zimeweza kujipatia milo mitatu ya siku kama inavyostahili. Hali ya umaskini imekuwa dondandugu lisilosikia dawa wala kafara. Yapo mengi ambayo yamechangia hali hii.

Miongoni mwa mambo yaliyochangia hapa ni kuzorota kwa uchumi nchini kutokana no changamoto za janga la Korona na idadi kubwa ya wananchi wasio na ajira. Hali hizi huzuia mzunguko wa hela no hivyo, baadhi ya wananchi hubaki maskini hohehahe. Hata hivyo, kulingana na ripoti ya Wizara ya Afya, kwa sasa makali ya Korona yamepungua na nina matumaini kuwa hall ya kawaida itarejea, inshallah. (Mwalimu arudie

  1. Akahangaiko makubwa katika miaka michache iliyopita yamesababishwa na nini? (Mwanafunzi ajibu)
  2. Ninaposerna milo mitatu, nina manna gani? (Mwanafunzi ajibu)
  3.  Kulingana na makala hays, ycrtaje mambo makuu yaliyochangia hail ya umaskini nchini. (Mwanafunzi ajibu)
  4. Mzunguko Wa peso ukiwa duni, wananchi krtesekaje? (Mwanafunzi ajibu)
  5. Kwa sasa !tuna matumaini gani katika kuokoa hall ya umaskini nchini?
    (Mwanafunzi ajibu)

Zoezi La 2: Kusoma Kwa Sauti

Kinara wa shule yetu anaitwa Bibi Maua. Yeye ni mrefu kiasi. Mwalimu Maua arnelciongoza chombo hiki tangu miaka minne iliyopita.

Mwalimu Maua alichukua usukani kutoka kwa bwana Maporomoko ambaye karibu aizamishe hii shule yetu katika bahari ya matatizo. Nidhamu shuleni ilikuwa imezorota mno, nayo matokeo yakawa vivyo hivyo.

Pindi alipofika, matokeo na nidhamu zilianza kuimarika. Saul shule yetu ni tajika. Jinn la shule yetu ya Bongochonjo linang'aa. Wengi hawaamini masikio yao
kuwa sisi ni jogoo katika nidhamu na matokeo.

 

SEHEMU YA B

Zoezi La 3: Kusoma Kwa Ufahamu.
Soma fahamu hizi  kisha ujibu 

  1. SIKU ZA MWIZI NI ARUBAINI,
    Siku moja tulipokuwa tukienda shambani na dada yangu, tuliwaona watu wengi waliokuwa wakiangalia kitu ambacho hatukukielewa. 5151 tulipoona hivyo, tulikimbia it; nasi tukajionee ni kitu gani ambacho watu walikuwa wakikitazama kwa makini kiasi

    Tulipofika katika mkusanyiko ule, tulishangaa kuona kuwa alikuwa ni jamaa nunoja aliyekuwa amepigwa vibaya na watu waliokuwa na hasira. Dada yangu alipouliza kiss no maana ya yale yote, ajuza mmoja alimweleza kuwa jamaa huyo alikuwa amemwibia mama mmoja mzigo wake uliokuwa na bidhaa zake nyingi.
    1.  Umati ule wa watu uli uwa ukiangalia nini?
    2. Safari ya kuelekea shambani ilifungwa na watu wangapi?
    3. Dada wa mwandishi aii,juaje kilichokuwa kimejiri?
    4. Kwa maoni yako, hatua gani ingekuwa bora zaidi baada ya kumkarnata mwizi yule?
    5. Mama aliyeibiwa aliibiwa nini?

  2. UMUHIMU WA MAJI

    Maji ni uhai. Bib maji, hakuna binadamu hata mmoja ambaye angeweza kuishi. Watu wote huyategemea maji moja kwa moja. Maji hayo hutumika kwa njia mbalimbali kama vile kunywa, kupikia, kuoshea na shughuli nyingine nyingi za nyumbani. Mvua inapokosekana, maji hutumika kunyunyizia mimeo. Maji yatumiwayo kunyunyizia huweza kupatikana mitoni, mabwawani no maziwani. Moji yana uwezo wa kuzalisha nguvu za umeme. Mto Tana, kwa mfano, huzalisha nguvu za stima. Samaki huishi majini na kwa hivyo, shughuli za uvuvi hutegemea maji. Hivi ni kusema wavuvi huyatumia maji kupata pesa. Samaki wapikwapo vizuri, huwa Iishe nzuri na yenye afya.
    1. Ni nini maana ya maji ni uhai?
    2. Maji yana umuhimu gani kwa wavuvi?
    3. Unadhani stima inayozalishwa kupitia nguvu za maji huweza kutusaidia vipi?
    4. Kulingana na ufahamu, baadhi ya vyanzo vya maji ni vipi?
    5. Tumeambiwa kuwa mto Tana una umaarufu gani?

 

SEHEMU YA C:

Zoezi La 5: Kuandika
Anza insha yako kwa maneno yafuatayo:

Siku moja tulitoka shuleni jioni kama ilivyokuwa kawaida. Tulipofika karibu na nyumbani,

Mwongozo wa Kusahihisha  

Sehemu A:
Zoezi la I:
1-5 Mwanafrunzi ajibu

Zoezi la 2
Mwanafunzi asome taarifa kwa sauti

Sehemu B
Zoezi la 3:

Ufahamu I

  1. Jamaa aliyepigwa
  2. Wawili
  3. Aliambiwa na ajuza
  4. Mwanafunzi aeleze
  5. Mzigo

Ufahamu II

  1. Ni muhimu kama uhai
  2. Huwaweka hai samaki
  3. Mwanafunzi aeleze
  4. Mito, mabwawa, maziwa
  5. Huzalisha stima
  6. Vifaru weusi
  7. Ndovu
  8. Kwa maji ya chumvi
  9. KWa shingo upande
  10. Ili wasiuawe

Zoezi la 4: Sarufi

  1. Alhamisi
  2. Nairobi
  3. Yohana
  4. Mzinga
  5. kafiri
  6. marara
  7. Meza hizi zilinunuliwa jana jioni
  8. Nguo ilifuliwa ikaanikwa jioni
  9. Kamba zenyewe zilikatika baada ya kununuliwa
  10. Mwanafunzi atunge
  11. Mwanafunzi atunge
  12. Mwanafunzi atunge
  13. Dizi
  14. Jiti
  15. Jibwa
  16. Mwanafunzi akanushe
  17. Mwanafunzi akanushe
  18. Mwanafunzi akanushe
  19. Mwanafunzi akanushe
  20. Mwanafunzi akanushe
  21. Mawe
  22. Jiko
  23. Jani
  24. chini ya
  25. Ala!
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 6 End of Term 1 Exams 2022 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students