Thursday, 05 May 2022 09:25

Kusoma Activities Questions and Answers - CBC Grade 1 End Term 1 Exams 2022 Set 1

Maswali

 1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA (Alama 5)
  Nitakusomea hadithi kisha nitakuuliza maswali. Sikiliza kwa makini.

  Jumatano ni siku ya soko kula Sori. Mama yangu huuza vyakula vya kiasili vifuatavyo: maharagwe, mahindi na njugu. Rafiki yake Sara humuuzia mihogo na viazi.
  1. Soko ya Sori huwa siku gani?
   ____________________
  2. Taja vyakula vitatu vya kiasili ambavyo mama huuza? (alama 3)
   ____________________
   ____________________
   ____________________
  3. Rafiki ya mama anaitwaje?
   ____________________
 2. KUSOMA KWA SAUTI (Alama 10)
  Soma hadithi hii kwa sauti

  Wakati wa likizo Eliza na Lazizi walielekea ziwani. Waliona minazi na mizabibu. Wakala mizabibu. Waliwabebea wazazi wao zabibu na nazi. Wazazi waliwanunulia Zawadi. Lazizi alizawadiwa zeze. Eliza alinunuliwa miwani.

 3. Mwanafunzi asome maneno 20 kwa dakika moja.

Jumla = (alama 50)

Majibu.

 • Maswali yote yanapaswa kujibiwa kwa njia ya kuongea .

 

Please download this document as PDF to read all it's contents.

Why PDF Download?

 • You will have the content in your phone/computer to read anytime.
 • Study when offline.(No internet/data bundles needed.)
 • Easily print the content to hard copy.

Read 182 times Last modified on Friday, 06 May 2022 07:45