Friday, 10 March 2023 08:22

Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 1 School Based Assessment 2023 Opener Exams Term 1 Set 1

Share via Whatsapp

MASWALI

SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Mwalimu atamuuliza mwanafunzi maswali yafuatayo, mwanafunzi ayajibu vilivyo

 1. Hujambo?_________________
 2. Habari?_________________
 3. Shikamoo?_________________
 4. Je wewe una umri wa miaka mingapi?
 5. Wewe una miguu mingapi?
 6. Je, mwalimu wa gredi ya kwanza anaitwaje?

SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti
Jina langu ni Katana. Nina umri wa miaka sita. Kaka yangu ni Juma, Rafiki yangu ni Lona. Sisi ni watoto wazuri. Tuko katika gredi ya kwanza.

MAJIBU

 1. Sijambo
 2. Mzuri
 3. Marahaba
 4.      
 5. 2 / miwili
 6.     
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - Grade 1 School Based Assessment 2023 Opener Exams Term 1 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.