Wednesday, 04 May 2022 08:09

Kusoma Activities Questions and Answers - CBC Grade 3 End of Term 1 Set 1 2022

Share via Whatsapp

Maswali

  KUZIDI MATARAJIO KUFIKIA MATARAJIO KUKARIBIA MATARAJIO MBALI NA MATARAJIO
 KUSOMA (Alama 11-12) (Alama 8-10) (Alama 5-7) (Alama 0-4)
Anaweza kusoma kwa
ufasaha na kujibu maswali
mengi/yote kwa usahihi .
Anaweza kujibu  maswali vizuri 
kama anavyoulizwa.
Anaweza kujibu maswali
kiasi cha haja kama
anavyoulizwa.
Anaonekana kulemewa na kujibu
 maswali ya ufahamu. 
Anahitaji mwongozo zaidi.
 KUSIKILIZA 
NA 
KUZUNGUMZA
(Alama 7-8) (Alama 5-6) (Alama 3-4) (alama 0-2)
Anaweza kujibu maswali
mengi/yote kulingana na
maagizo aliyopewa.
Anajibu vyema kuhusu
mada lengwa. 
Anajibu maswali kiasi  kizuri
kulingana na  maagizo.
Anajibu vyema kulingana na
mada lengwa.
Anajibu maswali kiasi
cha haja kulingana na
maagizo.Hata hivyo baadhi
ya mada zinamlemea.
Anahitaji mazoezi zaidi.
 Anahitaji mwongozo  wa mwalimu
ili kuelewa mada lengwa
SARUFI (Alama 18-20) (Alama 15-17) (Alama 10-14) (Alama 0-9)
Anaweza kujibu maswali
mengi/yote kwa usahihi
akizingatia kiasheria za
sarufi ya lugha.
Anaweza kujibu maswali  kiasi
vizuri kwa usahihi  akizingatia
sheria za sarufi ya lugha.
Anajaribu kujibu maswali
kiasi cha haja. Anajaribu
kuzingatia sarufi ya lugha.
Mazoezi zaidi yanapendekezwa
Anahitaji mwongozo zaidi
ili kuelewa mada mbalimbali
 KUANDIKA (Alama 9-10) (Alama 7-8) (Alama 5-6) (Alama 0-4)
Anaandika kwa usahihi
akizingatia msamiati
sahihi na kuakifisha
vyema. Anathibitisha
umilisi wa lugha.
 Anaandika kwa kutosheleza
mahitaji mengi ya uandishi.
Anajaribu kuonyesha umilisi
wa lugha.
Anaonekana kuandika akilenga
mada aliyopewa. Anahitaji
mazoezi zaidi kujiimarisha kazi
imepangwa vyema.
Anahitaji mwongozo  na mazoezi
mengi. Anapanga kazi kwa
mpangilio usiokubalika.

 

 
SEHEMU YA 1 KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Sikiliza kwa makini hadithi utakayosomewa na mwalimu wake kisha ujibu maswali utakavyoelezwa na mwalimu.

Hapo zamani Papa alifanya urafiki na Popo. Siku moja Popo alikutana na Papa karibu na bahari iii aende kumtembelea anakoishi baharini. Papa
alikubali.

 1. Papa na Popo walikuwa?
  ____________________________________
 2. Papa allishi wapi?
  ____________________________________
 3. Popo alitoka kwenda wapi?
  ____________________________________

SEHEMU YA 2: KUSOMA
Soma kifungu hizi kwa sauti.

Ami yangu ni mkulima hodari, aria shamba kubwa sans. Yeye hupanda mimea na kufuga wanyama wa nyumbani. Amegawa shamba lake katika
sehemu tatu. Sehemu ya kwanza ni ya ng'ombe na kondoo. Sehemu ya pili ni ya mahindi, maharagwe na mboga. Sehemu ya tatu ni yo matunda.

Maakizo

 1. marafiki
 2. baharini
 3. kwa papa/ pahali papa anapoishi.

 


Download Kusoma Activities Questions and Answers - CBC Grade 3 End of Term 1 Set 1 2022.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


.