Thursday, 13 April 2023 07:33

School Based Assessment Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 3 End Term 1 Exams 2023 SET 1

Share via Whatsapp Written by
Rate this item
(1 Vote)

SEHEMU YA 3: UFAHAMU

Soma hadithi kisha ujibu mswali

Baba yangu anaitwa Suleimani ni mwalimu. Yeye hufundisha katika shule ya msingi ya Msamaria. Baba huenda shuleni siku ya Jumatatu hadi Ijumaa. Kisha Jumamosi baba hufanya vibarua vya hapa na pale. Baba ni mchapakazi.

Maswali

 1. Baba ni
 2. Anafunza katika shule gani?
 3. Baba huenda wapi siku ya Jumatatu hadi Ijumaa?
 4. Baba anaitwa?
 5. Jina mchapakazi lina maana gani?

SEHEMU YA 4: SARUFI

Tumia yeye, wao na nyinyi

 1.                     wataenda shuleni
 2. .                    ni mwanafunzi wa gredi ya tatu.
 3. .                  mtaimba wimbo wa Taifa.

Andika vizuri maamkizi haya

 1. mbohuja?
 2. oomkashi?
 3. amkajeume?
 4.  ribaha?
 5. jasimbo."

Chora vifaa hivi vya shambani

 1. jembe
 2. kifyekeo
 3. shoka

Andika kwa herufi kubwa au ndogo

 1. PIKIPIKI
 2. februari
 3. zawadi
 4. MKULIMA

SEHEMU YA 5: KUANDIKA

Andika sentensi tano kuhusu Mwalimu wangu

MARKING SCHEME

 1. Mwalimu
 2. Msamaria
 3. Shuleni
 4. Suleimani
 5. Wao
 6. Yeye
 7. Nyinyi
 8. Hujambo
 9. Shikamoo
 10. Umeamkaje?
 11. Habari
 12. Sijambo

Chora vifaa hivi vya shambani

 1. jembe 
 2. kifyekeo
 3. shoka

Andika kwa herufi kubwa au ndogo

 1. pikipiki
 2. FEBRUARI
 3. ZAWADI
 4. mkulima

Andika sentensi tano kuhusu mwalimu wamngu 

Join our whatsapp group for latest updates

Download School Based Assessment Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 3 End Term 1 Exams 2023 SET 1.


Tap Here to Download for 30/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Read 452 times Last modified on Thursday, 13 April 2023 11:54

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.

.