Monday, 21 November 2022 07:05

Kiswahili (Kwa Darasa) - Class 8 Schemes of Work Term 1 2023

Rate this item
(2 votes)

RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI DARASA LA NANE MUHULA KWANZA – 2022

WK

KIP

FUNZO

MADA

SHABAHA

SHUGHULI ZA MAFUNZO

NYENZO

ASILIA

MAONI

1

 

MARUDIO

Mada mbalimbali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyarudia  aliyoyapitia katika darasa la saba  ili kujitayarisha kwa kazi ya darasa la nane.

Kuuliza na kujibu maswali ya kauli na ya kimaandishi.

Karatasi za mitihani iliyopita

Vitabu mbalimbali vya marudio.

 

2

 

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Maamkuzi,

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumi maneno ya adabu na heshima kwa njia sawa

Kuuliza na kujibu maswali kuigizama

  • Ubao
  • Zoezi kitabuni mwa wanafunzi.

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu)uk.  1

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Ubao
  • Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

,,

Uk. 2

 

3

KUANDIKA

Sentensi zenye miundo mbalimbali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufafanua sentensi zenye miundo mbalimbali (neno moja, fupi, mseto/ndefu)

  • Kutunga sentensi
  • kujibu maswali
  • Kuandika sentensi

Mifano Ubaoni

Uk. 3

 

4

SARUFI

Viambishi ngeli

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze

- kutumia  ya viambishi ngeli kutunga sentensi sahihi

  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi

-Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

 

Uk. 4

 

5

MSAMIATI

Tarakimu (10,000,001- 30,000,000)

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa tarakimu (10,000,001- 30,000,000) kwa  kuunda sentensi sahihi.

kuandika tarakimu kwa maneno

chati zenye tarakimu

Uk. 7

 

3

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Adabu na heshima

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo yanayohusisha maneno ya adabu na heshima.

  • kutunga sentensi
  • kuigiza mazungumzo ya adabu na heshima

Uhusika wa wanafunzi

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  9

 

2

KUSOMA

Ufahamu:

Usafi wa mazingira

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ufahamu  kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa  hiyo kwa usahihi.

  • Kusoma
  • kueleza maana ya manono mapya
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Taarifa kitabuni mwa wanafunzi.
  • mazingira ya shuleni

Uk 10

 

3

KUANDIKA

Insha ya wasifu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika wasifu wa kiongozi ampedaye kwa hati nadhifu.

kuandika wasifu

Vidokezo ubaoni

Uk 12

 

4

SARUFI

Vivumishi visivyochukua ngeli

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya vivumishi, kutoa mifano ya vivumishi vya sifa kapa, kutunga sentensi sahihi akiyumia vivumishi vya sifa.

  • Kueleza maana ya vivumishi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi

Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

 

Uk 13

 

5

MSAMIATI

Akisami

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa akisami kwa  kutunga sentensi sahihi .

  • Kutaja na kujadili msamiati wa akisami
  • Kufanya zoezi

Picha na michoro mbalmbali.

 

Uk 13

 

4

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Hadithi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma hadithi kwa sauti na kusimulia hadithi hiyo kwa maneno yake mwenyewe.

  • Kusoma
  • kusimulia hadithi

Uhusika wa wanafunzi

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  15

 

2

KUSOMA

Ufahamu: Msiba wa kujitakia hauna kilio

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali  kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi

Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

Uk. 17

 

3

KUANDIKA

Imla

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika maneno atakayosomewa kwa maendelezo sahihi.

kusikiliza kwa makini na kuandika maneno

Mifano ya manen kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 20

 

4

SARUFI

Vihisishi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya vihisishi, kutoa mifano ya vihisishi, kutunga sentensi sahihi akionyesha hisia tofauti

kueleza maana ya vihisishi, kutoa mifano Kuunda sentensi

Maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 21

 

5

MSAMIATI

Pembe kumi na sita za dunia

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa dira kwa usahihi.

  • Kutaja pembe 16 za dira
  • Kufanya zoezi

michoro mbalimbali ubaoni

Uk. 22

 

5

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Vitendawili

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutega na kutegua vitendawili kwa ustadi

  • Kuuliza na kujibu maswali.
  • Kusoma taarifa

Picha na michoro ubaoni na kitabuni

 

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi:kiswaili kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  24

 

2

KUSOMA

Maktaba

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma kitabu chochote akipendacho cha hadithi kutoka kwa maktaba

  • Kusoma
  • kueleza hadithi iliyosomwa

vitabu vya hadithi kutoka maktaba

Vitabu vya hadithi vilivyosomwa

 

3

KUANDIKA

Barua ya kirafiki

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki kwa hati nadhifu

  • kueleza mundo wa barua ya kirafiki
  • kuadika barua

mfano wa barua ya kirafiki ubaoni

Uk. 25

 

4

SARUFI

Viunganishi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya viunganishi, kutoa mifano ya viunganish, kutunga sentensi sahihi akitumia viunganishi.

  • kutoa mifano ya viunganishi
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
  • Mifano ubaoni
  • zoezi kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 26

 

5

MSAMIATI

Sayari

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja sayari           

  • Kujadili msamiati
  • Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi
  • Michoro na picha zinazoonyesha
  • sayari

Uk. 28

 

6

-

TATHMINI YA MASOMO

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujibu  maswali ya mtihani kwa usahihi kulingana na mafunzo ya awali.

  • Kuuliza na kujibu maswali
  • kufanya mitihani

Mtihani  wa katikati mwa muhula

karatasi za mitihani

 

7

MAPUMZIKO MAFUPI

 

8

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Mafumbo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kufumba na kufumbua mafumbo kwa ustadi.

kufumba na kufumbua mafumbo

 

Uhusika wa wanafunzi

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  29

 

2

KUSOMA

Ufahamu:

Zilizala

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi

Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

Uk. 29

 

3

KUANDIKA

Insha: Barua rasmi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa mpangilio muafaka.

  • kuandika barua rasmi
  • Kufanya zoezi

mfano wa barua rasmi ubaoni na kitabuni

Uk. 31

 

4

SARUFI

Vielezi vya mkazo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutoa mifano ya Vielezi vya mkazo na kutunga sentensi sahihi akitumia Vielezi vya mkazo

  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi

Mifano ubaoni

Uk. 33

 

5

MSAMIATI

Maliasili

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina za maliasili na kutumia msamiati wa maliasili kutunga sentensi.

  • Kutaja aina za maliasili
  • Kutunga sentensi

Picha na michorombalimbali.

Uk. 34

  

9

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Misemo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja misemo na kueleza maana yake.

  • Kutaja mifano ya misemo.
  • Kuuliza na kujibu maswali.

mifano ya misemo kitabuni na ubaoni.

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.36  

 

2

KUSOMA

Ufahamu; Kazi ipewe nani?

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma mazungumzo kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye mazungumzo hayo kwa usahihi.

  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Kuigiza mazungumzo

Picha na makala katika kitabu cha mwanafunzi.

Uk.37

 

3

KUANDIKA

Ushairi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja  kanuni za ushairi na kutunga shairi fupi kuhusu jambo alipendalo.

  • kuataja kanuni za ushairi
  • Kutunga shairi fupi

-Mifano ubaoni

Uk. 41

 

4

SARUFI

Kirejeshi –amba pamoja na ngeli

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia kirejeshi –amba na ngeli za A-WA,U-I, KI-VI, LI-YA, U-YA na YA-YA kutunga sentensi sahihi.

  • kutunga sentensi
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi
  • Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
  • mifano ubaoni

Uk. 42

 

5

MSAMIATI

Msamiati 
wizara

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja wizara mbalimbali na idara zake katika serikali.

  • Kutaja wizara na idara mbalimbali.
  • kujibu maswali

Picha na michoro mbalimbali

Uk. 44

 

10

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Methali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja methali mbalimbali na kueleza maana ya methali hizo.

  • Kutaja methali na maana yake
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • kufanya zoezi

Mifano ya methali ubaoni na kitabuni mwa wanafunzi

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  45

 

2

KUSOMA

Ufahamu
Shairi:- Ukimwi janga hatari

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma shairi kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye shairi hilo kwa usahihi.

  • Kusoma
  • kukariri shairi
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kufanya zoezi

shairi kitabuni mwa wanafunzi.

Uk. 47

 

3

KUANDIKA

-Insha ya maelezo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kwa hati nadhifu.

Kuandika insha

Vidokezo ubaoni

Uk.49

 

4

SARUFI

Matumizi ya ndi- na si

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja matumizi sahihi ya viambishi ndi na si

  • Kuunda sentensi
  • Kujadili mada
  • Kufanya zoezi
  • mifano ubaoni
  • Na kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 49

 

5

MSAMIATI

Mahakamani

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja msamiati wa Mahakamani na kuutumia kuunda sentensi sahihi.

  • Kujadili msamiati Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi

picha na michoro mbalimbali

Uk. 52

 

11

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Taarifa:

Hotuba ya mfamasia

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza kwa makini taarifa itakayosomwa na kujibu maswali ya kauli kwa usahihi

  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kuigiza hotuba

 

Makala kitabuni

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  54

 

2

KUSOMA

Ufahamu
Ajira ya watoto

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu
  • Kufanya zoezi

Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

Uk.55

 

3

KUANDIKA

Insha ya hotuba

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika isha ya hotuba kulingana na muundu ufaao.

Kuandika insha

Vidokezo ubaoni

Uk.  57

 

4

SARUFI

Vivumishi vya  A -unganifu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja vivumishi vya A unganifu na kutunga sentensi zenye vivumishi hivyo.

kutaja vivumishi vya A unganifu -Kutunga sentensi

Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

Uk. 59

 

5

MSAMIATI

Tarakimu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuendelea kupanua kiwango chake cha msamiati kwa kutumia ipasavyo  tarakimu za (30,000,001 -60,000,000)

  • Kutaja tarakimu -Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi

Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi

Uk. 60

 

12

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Majadiliano

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kushiriki mjadala kwa kutoa hoja muhimu kuhusu faida na hasara za mbuga za kuhifadhi wanyama pori.

  • Kushiriki mjadala
  • kuuliza na kujibu maswali

Uhusika wa wanafunzi

 

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 61

 

2

KUSOMA

Ufahamu

Haki za mtoto ni zipi?

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi.

  • Kusoma
  • Kuuliza na kujibu maswali
  • Kujadili taarifa

Taarifa katika kitabu cha wanafunzi.

Uk. 61

 

3

KUANDIKA

Insha ya kuendeleza

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuendeleza kwa hati nadhifu

Kuandika insha

-Vidokezo ubaoni

 

Uk. 64

 

4

SARUFI

Vielezi

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina za vielezi kwa kutoa mifano sahihi.

  • kutaja aina za vielezi
  • kutoa mifano

Maelezo kitabuni mwa wanafunzi

Uk. 65

 

5

MSAMIATI

Mekoni

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa akisami kuunda sentensi sahihi.

  • Kujadili msamiati -Kuunda sentensi
  • Kufanya zoezi

Vifaa asili kama mbuzi,  mwiko, uteo, susu n.k

Uk. 67

 

13

-

MAREJELEO

Mada zote zilizosomwa awali

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kurudia  yale yote aliyojifunza ili kujitayarisha kwa mtihani wa mwisho wa muhula.

Kuuliza na kujibu maswali ya kauli naya kimaandishi.

Mazoezi ya marudio kitabuni mmwa wanafunzi

KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.  1-68

 

14

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA  KUSAHIHISHA NA KUNAKILI MATOKEO.

Read 810 times Last modified on Monday, 21 November 2022 11:18

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.