KISWAHILI (INSHA)
KARATASI YA 1
MAAGIZO
- Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
- Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia.
- Kila insha isipungue maneno 400.
- Kila insha ina alama 20.
- Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
Maswali
- Insha ya lazima
Umetembelewa shuleni mwenu na mwandishi wa habari kutoka Gazeti la Wajibika kukuhoji jinsi Shule yenu ya Raslimali inavyohifadhi mazingira. Andika mahojiano yenu. - Jamii ina mchango mkubwa katika kuimarisha maadili miongoni mwa vijana. Jadili.
- Tunga insha inayobainisha maana ya methali:
Ngoma ikilia sana, hupasuka kiwambo. - Tunga kisa kitakachoishia kwa maneno yafuatayo:
.... Nilishusha pumzi. Nikashukuru. Masaibu yangu yalikuwa yamefika kikomo, maisha ya siku zijazo yalijaa matumaini.
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Kiswahili Paper 1 Questions - Maranda Mocks 2021/2022 Exams.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students