Vitanza ndimi ni nini? Ni mfuatano wa maneno au sauti, kwa kawaida za aina ya semi, ambazo ni vigumu kutamka kwa haraka na kwa usahihiKitanza ndimi kwa umoja

Maana ya vitanza ndimi (VN) ni kauli au sentensi zenye maneno ambayo yana mfuatano wa sauti zinazotatanisha kimatamshi.

VN huundwa kwa maneno yenye sauti zinazokaribiana sana kimatamshi kimsingi, katika jamii nyingi za kiafrika watu hufurahia kucheza na maneno kama njia ya burudani.

Watoto kwa mfano, wana mazoea ya kucheza na maneno na sauti katika michezo na nyimbo zao

Vitanza ndimi ni aina ya fasihi simulizi .

Fasihi simulizi ni utanzu wa fasihi ambao unawakilisha sanaa ya lugha inayopitishwa kutoka kwa kizazi hadi kizazi kwa njia ya maneno/masimulizi ya mdomo.

Pata majibu ya maswali ya kawaida kuhusiana na vitanza ndimi grade 4 hapa

Kumbuka: Usichanganye vitanza ndimi na vichezea maneno. Ingawa zote ni semi zina maana tofauti. 

Vitanza ndimi (tongue twisters kwa Kingereza) huwa ni sentensi zinazotumia maneno yanayomkanganya msomaji katika matamshi.

Vitanza ndimi in English are called tongue twisters.

Kwa mfano (English) - She sells sea shells at the sea shore!

Vitanza ndimi huhitaji kutamkwa haraka haraka na kurudiwa rudiwa mara kadhaa kwa kusudi la kukuza uwezo wa kutamka

Mifano 14 ya vitanza ndimi

Vitanza ndimi examples / Vitanzandimi / Further examples of vitanza ndimi

 1. Wataita wataita wataita taita.
 2. Wali huliwa na mwana wa liwali. Asiyekuwa mwana wa liwali hali wali.
 3. Waite wale wana wa liwali wale wali wa liwali.
 4. Wali huliwa na wanawali, wasio wanawali hawali wali.
 5. Cha mkufuu mwanafuu ha, akila hu, cha mwanafuu hu, akila ha.
 6. Shirika la reli la Rwanda lilishirikiana na shirika la reli la Libya.
 7. Mzee aliyevaa koti lililofika gotini alianguka akaumia goti kisha koti lake lenye kufika magotini likachanika.
 8. Kupa mpe akupao kumpa asokupa si kupa ni kutupa.
 9. Hilo lililoliwa ndilo nililolitaka.
 10. Mchuuzi wa mchuzi hana ujuzi wa mjusi wa juzi.
 11. Cha mkufuu mwanafuu ha akila hu cha mwanafuu mkufuu hu akila ha
 12. Pema usijapo pema ukipema si pema tena
 13. Nguo zisizotakikana zitachomwa zote.
 14. Mchuuzi ana ujuzi wa kuuza mchuzi

Ni zipi zikusikitishazo?

Kwa upande mwingine vichezea maneno (puns kwa Kingereza) ni maneno yanayokaribiana kimatamshi au kimaana hutumika katika sentensi moja kama njia ya kuonyesha ukwasi wa lugha au kuburudisha.

Pia hutumika kama vitanza ndimi.

Mifano ya vichezea maneno:

 1. Nitasisitiza na nitasita kusitasita.
 2. Kanga wa Mahanga mwenya matanga anatangatanga Tanga

Sifa 7 za vitanza ndimi

 1. Kimsingi, vitanza ndimi ni mchezo wa maneno na sauti.
 2. Hutumia maneno yanayokaribiana kimaana na kimatamshi - Huundwa kwa maneno ambayo yana sauti zinazokaribiana kimatamshi maneno haya huweza kuwa na maana nyingi au yenye kukabiriana kimaana.
 3. Ukinzani wa maneno kisauti na kimaana huyafanya matamshi ya maneno kuutatiza ulimi.
 4. Ni kauli fupi.
 5. Maneno hutamkwa kwa haraka
 6. Kuna kurudia sehemu au sauti ya ktk sentensi.
 7. Huhitaji makini wakati wa kuzitamka kutokana na mfanano wa maneno yaliyopo na sauti zilizopo zenye kukaribiana kimatamshi.
 8. Huzua utata unaotatanisha wakati wa kuelewa ujumbe

Umuhimu wa vitanza ndimi

 1. Kuburudisha kwa kufurahisha na kuchangamsha.
 2. Kuongeza utamu katika lugha.
 3. Kuboresha matamshi - Vitanza ndimi hukuza matamshi bora mtu anapoendelea kutamka.
 4. Kukuza uwezo wa kufikiri haraka ili kujua maana za maneno ili kutamka ipasavyo.
 5. Kupanua ujuzi wa msamiati.
 6. Husaidia kutofautisha maana za maneno.
 7. Kujenga stadi ya kusikiliza.
 8. Kukuza ubunifu kwa kuteua maneno yanayotatanisha kisauti na kimaana.
 9. Kujenga uhusiano bora kwa ucheshi.

Majukumu ya Vitanza ndimi katika jamii

 1. Kumzoesha mtoto/mtu kuzitamka sauti au maneno vizuri.
 2. Ni nyenzo ya burudani. Vikao vya mashindano ya utamkaji hutumiwa kuwachangamsha wanajamii.
 3. Msingi wa kumsaidia mtoto kujua lugha kwa undani. Huundwa kwa vitate au vitawe, hivyo mtu hujifunza vipengele hivi vya lugha.
 4. Husaidia kuimarisha uwezo wa kimawasiliano wa anayehusika. Utamkaji wa vitanza ndimi kwa kasi humzoesha mzungumzaji kuweza kuwasilisha hoja bila kusitasita.
 5. Huendeleza utamaduni. Jinsi wanajamii wanavyoshirikishwa katika utamkaji ndivyo wanavyorithishwa utamaduni wao au desturi yenyewe ya kushiriki katika utamkaji.
 6. Hujenga stadi ya ukakamavu. Kadiri mtu anavyoshiriki katika utamkaji ndivyo anavyoimarisha ujasiri wake wa kuzungumza hadharani.
 7. Huibua ucheshi na kudumisha uhusiano mwema. Utani unaoibuliwa katika mashindano ya utamkaji ni msingi wa kujenga uhusiano.
 8. Hukuza ubunifu. Wanajamii huweza kubuni vitanza ndimi hapohapo, wakavitamka.
 9. Ni kitambulisho cha jamii. Kila jamii ina vitanza ndimi vyake vinavyohusu mazingira yake.
 10. Hukuza utangamano katika jamii. Vikao vya mashindano ya utamkaji huwaleta wanajamii pamoja hivyo kujihisi kuwa kundi moja.
 11. Kuonya/kushauri - baadhi hufumbata maonyo/ushauri. Kwa mfano, Mzaha mzaha huzaa usaha

Aina ya vitanza ndimi

 • vya sauti d na nd
 • vya sauti th na dh
 • vya sauti p na b
 • vya sauti f na v
 • vya sauti l na r
 • vya sauti d 
 • vya sauti ch na sh
 • vya sauti l na r
 • vya sauti j na nj

Angalia mifano 14 ya vitanza ndimi zilizo hapo juu.

Get more CBC Grade 4 revision papers and exams here.

Make revision easier by downloading the Easy Elimu study app NOW!!!!

Work S.M.A.R.T.er with @ Easy Elimu by setting SMART goals

Intro

Want to learn how to set SMART educational goals? Then you are in the right place!!!

After the turbulent educational period resulting from COVID-19 and the change in curriculum (8-4-4 to CBC), it is finally over.

In a sense.

The year 2023 is upon us, and there is no better time than this to start thinking about and setting up what your educational goals are going to be for the this educational year.

You want to improve your grades? Get an A? Be more articulate when speaking in public? Learn to play a musical instrument? Then set SMART goals that will help you focus your energy, time, and efforts to help you achieve your 2023 educational goals.

The example in the image below is a simple framework that you can use when writing your SMART goals.
easy elimu smart goals

 

Below are the steps that will guide you in creating your SMART education goals for this educational year.

Step 1: Have a vision / a general goal

Answer this: Why do you want to improve your grade? or learn more?

Whatever that is it is your main goal for learning and that is YOUR vision.

I find it useful to have a general goal, which is like the main aim

Then you can break that general goal down into smaller, more specific goals that will help you achieve the overall goal (your vision).

For example, you can set your general goal as "To improve my grade from a C+ to a B by the end of the year 2023, that is, by the end of term 3 exams in 2023, as it is the next level in my educational journey and aligns with my long-term goal of getting above a B+ in my KCSE exams."

In the above example, the vision of that person is to get above a B+ in his/her KCSE exams.

Step 2: Set SMART Goals

To succeed at anything, you have to first set up a framework for it.

You already have one of the components of a good framework for success, which is your vision.

You want to go from a lower grade, e.g., a C, to a higher grade, e.g., a B, and that's a really good vision to have.

Note: You don't need to take big leaps for your improvement to be deemed a success. Small steps matter! So clap for yourself when you make even the smallest improvement, and let that motivate you to keep improving and pushing forward.

Once you have your vision from there there you then need to set SMART goals.

These goals will help you focus your energy, time, and efforts to help you achieve your vision.

SMART stands for specific, measurable, achievable, relevant, and time-bound

These specific goals will majorly focus on the how or the effort that you need to put in to bring that lower grade to a higher grade.

Tip: For the specific goals you can looks at the individual subjects.

For example, you can set your general goal as

"To improve my grade from a C to a C+ by the end of the year 2023, that is, by the end of term 3 exams in 2023, as it is the next level in my educational journey and aligns with my long-term goal of getting above a C+/B-/B/B+/A-/A in your KCSE exams.

As you can see from the above example, its a S.M.A.R.T goal.

Then, for specific goals, you can look at the various subjects that you need to improve on the most.

For example:

Specific goal 1: Get my English grade from a D to above a C+ by the end of 2023 by:

 1. Reading the various notes.
 2. Reading all the set books thoroughly.
 3. Doing practice revision papers every 2 weeks and also topical revision questions.

Note:
In the specific goals, you have to specify the who (you), what (English grade), where (from a D to above a C+), by when (the end of 2023), why (to improve the English grade and ultimately the overall grade), and lastly, how.

In the specific goals, you have to specify the;

 • who (you),
 • what (English grade),
 • where (from a D to above a C+),
 • by when (the end of 2023),
 • why (to improve the English grade and ultimately the overall grade),
 • and lastly, how. The how is especially important. and it outlines the EFFORT that you need to put in to attain that specific goal.

Note: You can have many specific goals as long as they align with your vision /  main goal. 

Step 3: Create a timetable

To avoid wasting resources, including your time and efforts, create a timetable that is aligned with your goals.

You need to create a timetable to outline your daily, weekly, and monthly study structure so that you can use your limited resources more efficiently.

Remember, you have to revise while also learning new contents for the class that you are moving in, so don't overburden yourself.

Leave yourself time to play and relax so that you don't burn out.

Step 4: Share your educational vision and timetable with someone who will keep you accountable

Are you a person who is self-disciplined?

If you feel like you will not follow through with the timetable you have written then you can tell someone( a parent or a sibling or a friend) about your vision and ask them to help you follow your timetable.

Having someone to be accountable to can really help you be consistent and follow through with your studying

Step 5: Follow-through

Once you have your vision, goals, timetable and coach/mentor its then a matter of following-through.

It may seem like alot right now but developing a good framework/structure at the beginning of this educational year will seriously set you up for success.

5 reasons why it is important to have SMART educational goals

Setting SMART educational goals sets you up for success because:

 1. SMART goals help provide you with a clear direction so that you can better focus your efforts.
 2. SMART goals help you evaluate your strengths and weaknesses objectively.
 3. SMART goals assist you in making the best use of your limited time and resources to achieve your educational objectives.
 4. SMART goals motivate you.
 5. SMART goals help get you out of your comfort zone and take action, as you are the only person who can improve your circumstances by working smarter.

Conclusion

Set SMART educational goals for this educational year and know that Easy Elimu will be with you all the way.

With quality notes on all subjects, comprehensive topical revision questions and unique past papers that will help you revise for whichever subject you want to improve on.

Set SMART goals with @ Easy Elimu

Work SMARTer today for a better tomorrow.

Want to chat with us and get quality revision materials? Contact us via whatsapp @ +254 703 165 909.

Get revision materials to help you up your game this academic year here.

(Click the links to get access.)

Happy reading, and remember: hard work beats intellect, so put in the effort in your studies!

Navigation

High School, Upper and Lower Primary Subscription

If your access level is that of a High School, Upper or Lower Primary the following are the subscription packages available to you

 • Advanced Package - 2000 points/weekor 200 KES per week
 • Advanced+ Package - 5000 Points/month or 500 KES per month
 • Pro Package - 10000 points/year or 1000 KES for 1 year.
 • Premium Package - 30,000 points for life (no expiry) or 3,000 KES forever. :)

How to Subscribe (High School, Lower and Upper Primary (with Screenshots)

 1. Click on the 3 horizontal lines at the top left
  homepage1
 2. If you don't have enough points to subscribe, you'll need to add points first. If you already have sufficient points, jump to step 8.

  To add elimu points:
  Tap on the Elimu Points menu.
  elimupoints menu
 3. Tap on the "Add Elimu Points" floating button at the bottom right.
  add elimupoints
 4. There are 3 ways to add Elimu Points but for this tutorial, we will handle addition by Mpesa.
  add elimu points
  Tap on "Buy Elimu Points using Mpesa Menu"
 5. Follow the on screen instructions on how to pay to complete your payment.
  Enter your phone number and mpesa confirmation code sent in the Mpesa message.
  payment
 6. If your details are correct, your payment will be confirmed and points added accordingly, i.e. Amount paid x 10. You will also receive a notifcation confirming the same.
  payment confirm
 7. In this case, we paid 500/- so we have received 5000 Elimu Points.
  points balance
 8. After payment, go back to app's home and tap "Subscriptions"
  subscriptions menu
 9. Tap on the package you wish to subscribe to depending on your points balance. 
  In this tutorial, we will subscribe to the advanced + package for 5000 points per month.
  packages2 1
 10. Confirm that you would want to subscribe by clicking yes on the popup that appears as shown below.
  about to sub

  Another popup will appear confirming your subscription. Click on OK to exit. You will also receive a notification confirming your subscription.
  sub success

 11. Your subscription is now active.

  active sub
 12. You can now proceed to our content and download whatever you need.

  step 1
  step 1
  step 1

 

To watch the latest video lessons, click on the link below
easy tube
https://www.youtube.com/channel/UC4qgC8A4K9jxs8bkLSaQcdA/playlists

This is the approved and revised school calendar for 2023; approved and revised by the Ministry of Education.

Since COVID-19 hit Kenya, we have had a hectic and cramped school calendar that has left many students and parents dazed.

In an effort to normalize the school calendar following the COVID pandemic, the Kenyan Ministry of Education revised and reissued the school calendar in a circular titled:

Re: School Calendars for Years 2020, 2021, 2022, and 2023: Revised Term Dates for Pre-Primary, Primary, and Secondary Schools and Teacher Training Colleges

2023 School Calendar Kenya for the whole academic year 2023

Activity Opening Dates Closing Dates Duration
Term 1 23/1/2023 21/4/2023 13 weeks
Half-term Break 16/3/2023 19/3/2023 3 days
Holiday 22/4/2023 7/5/2023 2 weeks
Term 2 8/5/2023 11/8/2023 14 weeks
Half-term Break 29/6/2023 2/7/2023 3 days
Holiday 12/8/2023 27/8/2023 2 weeks
Term 3  28/8/2023 27/10/2023 9 weeks
KCPE & KPSEA 30/10/2023 02/11/2023 4 days
KCSE 03/11/2023 24/11/2023 3 weeks
KCSE MARKING 27/11/2023 15/12/2023 3 weeks

 

Get revision materials to help you up your game this academic year here.

(Click the links to get access.)

Happy reading, and remember: hard work beats intellect, so put in the effort in your studies!

The Kenya Certificate of Primary Education (KCPE) examinations will take place from November 28th to November 30th, 2022.

The students currently in Class 8 will be the second-to-last batch of learners under the 8-4-4 system to sit for KCPE. This is due to the new competency-based curriculum that was implemented in December 2017 and that has replaced the 8-4-4 system.

Ordinarily, the KCPE exam takes only three days.

Other than the 3 days, the candidates have one day called the "rehearsal day," where they do no exams but are sorted on everything so that when the exam day comes, they are all good to do the exam.

On rehearsal day, candidates will be told all the rules so that they can adhere to them and prevent themselves from being disqualified. They are also physically arranged according to how they will sit during the KCPE exam.

The following are the KCPE 2022 exam dates and times (November 2022 KCPE exam dates):

Friday, November 25, 2022

 • Rehearsal day

Monday, November 28, 2022

 • 8.30 am - 10.30: Mathematics
 • 8.30 am - 10.30 am: Mathematics (Large Print)
 • 8.30 am-11.00 am: Mathematics (Braille)
 • 11.30 am-1.10 pm: English Section A - Language
 • 11.30 am - 1.10 pm: English Section A - Language (Large Print)
 • 11.30 am - 1.30 pm: English Section A- Language (Hearing Impaired)
 • 11.30 am - 1.40 pm: English Section A - Language (Braille)
 • 2.30 pm - 3.10 pm: English Section B - Composition
 • 2.30 pm - 3.10 pm: English Section B - Composition (Large Print)
 • 2.30 pm - 3.20 pm: English Section B -Composition (Hearing Impaired)
 • 2.30 pm-3.20 pm: English Section B - Composition (Braille) 

Tuesday, November 29, 2022

 • 8.30 am - 10.10 am: Science
 • 8.30 am - 10.10 am: Science (Large Print)
 • 8.30 am - 10.40 am: Science Braille
 • 11.10 am-12.50 pm: Kiswahili Lugha
 • 11.10 am-12.50 pm: Kiswahili Lugha (Large Print)
 • 11.10 am - 12.50 pm: Kenyan Sign Language - Section A
 • 11.10 am -1.20 pm: Kiswahili Lugha (Braille)
 • 2.10 pm-2.50 pm: Kiswahili Insha
 • 2.10 pm-2.50 pm: Kiswahili Insha (Large Print)
 • 2.10 pm-2.50 pm: Kenyan Sign Language Section B Composition
 • 2.10 pm-3.00 pm: Kiswahili Insha (Braille)

Wednesday, November 30, 2022

 • 8.30 am - 10.45 am: Social Studies and R.E
 • 8.30 am - 10.45 am: Social Studies and R.E (Large Print)
 • 8.30 am-11.15 am: Social Studies and R.E (Braille)


If you feel unprepared get doubly ready with these KCPE 2022 prediction papers which you can get here.

For class 8 notes click on this link.

Hope you have already sent those success cards,

Good luck to all 2022 KCPE candidates.

.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?