KCSE 2016 Kiswahili Paper 1 Questions with Marking Scheme

Share via Whatsapp
Download PDF for future reference Get on Whatsapp for 50/-
  1. Lazima
    Wewe ni katibu wa kamati inayochunguza jinsi ya kupambana na tatizo sugu la dawa za kulevya. Andika ripoti ukitoa mapendekezo ya kamati.
  2. “Utalii una faida nyingi kuliko madhara nchini Kenya.” Jadili.
  3. Andika insha inayobainisha maana ya methali: Chombo cha kuzama hakina usukani.
  4. Tunga kisa kitakachomalizika kwa:
    “Niligugumia ile chupa ya maji kwa pupa. Sikuamini kuwa kiu yangu ingekatika. Baada ya kumaliza kunywa maji yote, ndipo nilipotambua kwa kweli kuwa maji ni uhai.


Download KCSE 2016 Kiswahili Paper 1 Questions with Marking Scheme.


Tap Here to Download for 50/-

Join our whatsapp group for latest updates
Read 3042 times Last modified on Friday, 19 November 2021 08:19
Print PDF for future reference