Kiswahili Paper 1 - Alliance High School Pre-Trial Examination 2018

Share via Whatsapp
Download PDF for future reference Get on Whatsapp for 50/-

Click the link below to download as a full set with all the subjects. (PDF)

https://downloads.easyelimu.com/details/35-Alliance_High_School_Pre_Trial_Examination

SHULE YA UPILI YA ALLIANCE
MTIHANI WA MWIGA-MWIGO
102/1, Karatasi ya 1
Insha. Saa 13/4

MAAGIZO:

 • Andika insha mbili.
 • Swali la kwanza ni la lazima.
 • Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
 • Kila insha isipungue maneno 400.
 • Kila insha ina alama 20.
 1. Wewe ni mshauri wa wanafunzi katika shule yako. Umetambua kuwa wanafunzi wengi wameanza kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya. Waandikie onyo kuhusu
  madhara ya dawa hizo.
 2. Jadili madhara yanayoweza kusabishwa na ufisadi katika majimbo nchini.
 3. Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali, kitanda usichokilalia hujui kunguni wake.
 4. Andika kisa kuhusu safari ambayo huwezi kuisahau maishani mwako.

Download Kiswahili Paper 1 - Alliance High School Pre-Trial Examination 2018.


Tap Here to Download for 50/-

Join our whatsapp group for latest updates
Read 2671 times Last modified on Thursday, 05 July 2018 05:51
Print PDF for future reference