Kenya Certificate Of Secondary Education (KCSE 2008) Kiswahili Paper 1

Share via Whatsapp
Download PDF for future reference Join our whatsapp group for latest updates

 

  1. Insha ya lazima.
    Andika tahariri kwa gazeti la Raia ukieleza hatua zinazochukuliwa nchini ili kumwendeleza kielemu mtoto msichana.

  2. "Ufisadi ndicho kiwazo kikuu katika maendeleo ya uchumi wa taifa lolote." Thibitisha.

  3. Matikiti na matango ndiyo maponya njaa.

  4. Andika insha itaayo malizika kwa: "Aha! Kumbe mwungwana akivuliwa nguo huchutama. Sitasahau siku hiyo kwani sijawahi kufedheheka maishani kama nilivyoaibika siku hiyo." 

Download Kenya Certificate Of Secondary Education (KCSE 2008) Kiswahili Paper 1.


Tap Here to Download for 50/-


Read 3311 times Last modified on Thursday, 18 October 2018 17:27

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.

Print PDF for future reference