KCSE 2015 Kiswahili Karatasi ya Kwanza with Marking scheme

Share via Whatsapp
Download PDF for future reference Get on Whatsapp for 50/-
  1. Lazima
    Wewe ni katibu wa jopokazi lililoteuliwa kuchunguza vyanzo vya ongezeko la visa vya wanafunzi katika eneo la Tekeleza kuacha shule kabla ya kumaliza masomo yao. Andika ripoti ya uchunguzi huo.
  2. Andika insha kuhusu umuhimu wa tamasha za muziki katika maisha ya vijana.
  3. Tunga kisa kitakachodhihirisha maana ya methali ifuatayo:
    Usipoziba ufa utajenga ukuta. (alama 20)
  4. Tunga kisa kinachoanza kwa maneno yafuatayo:
    Nilimtazama kwa muda. Macho yake yalijaa furaha ya machozi na majonzi. (alama 20)

MARKING SCHEME

 


Download KCSE 2015 Kiswahili Karatasi ya Kwanza with Marking scheme.


Tap Here to Download for 50/-

Join our whatsapp group for latest updates
Read 3309 times Last modified on Monday, 22 November 2021 08:39
Print PDF for future reference