Kiswahili Paper 1 Questions - Maranda High School Mock Exams 2023

Share via Whatsapp

Maagizo

 • Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
 • Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia.
 • Kila insha isipungue maneno 400.
 • Kila insha ni alama 20.
 • Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
 • Watahiniwa ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.
 1. Insha ya lazima
  Wewe ni katibu katika Wizara ya Biashara. Kumekuwa na visa vingi ya biashara ya bidhaa ghushi nchini. Andika kumbukumbu za mkutano ulioandaliwa kujadili suala hili.
 2. Wewe ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama katika jimbo la Sokomoko. Andika taarifa utakayoitoa katika kikao cha kushughulikia usalama jimboni.
 3. Tunga kisa kitakachodhihirisha maana na matumizi ya methali:
  Mbio za kasa, humfikisha mbali
 4. Andika kisa kitakachokamiliza na maneno yafuatayo;
  .... Jeuri alighubikwa na fikira za majuto tele baada ya tukio hilo. Mara ikamfahamikia ukweli kuwa, mcheka kilema, hafi hakijamfika.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions - Maranda High School Mock Exams 2023.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?