Kiswahili Paper 1 Questions - Kapsabet Boys Post Mock 2023 Exams

Share via Whatsapp

MAAGIZO

 • Andika insha mbili – Insha ya kwanza ni ya lazima kisha chagua insha moja nyingine kwenye hizo zingine.
 • Kila insha isipungue maneno 400 (d) Kila insha ina alama 20.


MASWALI

 

 1. Andika tahariri kwa gazeti la mwananchi ukieleza hatua zinazochukuliwa nchini ili kumwendeleza kielimu mtoto msichana.
 2. Kupunguza mishahara ya watumishi wa umma ni hatua mwafaka kama maendeleo ya nchi yatafanikiwa. Jadili
 3. Andika insha itakayoafikiana na methali. ‘Baniani mbaya kiatu chake dawa’.
 4.  Andika insha itakayomalizikia kwa:
  …………… Walipofungua mlango huo hatimaye, wengi hawakuweza kuzuia hisia zao. Waliangua vilio kwa maafa waliyoshuhudia.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions - Kapsabet Boys Post Mock 2023 Exams.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?