Kiswahili Questions and Answers - Form 1 Mid Term 3 Exams 2023

Share via Whatsapp

                                                                                     SEHEMU A FAHAMU (ALAMA 15)

                                                                   Soma makala yafuatayo kasha ujibu maswali yafuatayo

Sigara ni mojawapo ya uraibu ambao watu wengi san hushiriki. Kila uchao vijana wa kike na kiume hujitosa katika uraibu huu hatari kwa kujua au kwa kutojua. wengine huvutiwa kuvuta sigara kwa kulazimishwa na wenzao ili waweze kukubalika katika tabaka au kundi Fulani. ushawishi wa aina ndio hujulikan kama shinikizo – rika. Wengi hawafahamu madhara ya sigara kwa vile hayonekani moja kwa moja. Madhara yake huchukua muda mrefu kabla ya kuonekana au kudhihirika. Yanapofika kiwango hiki, mvutaji huwa amefikia uharibifu wa viungo vya ndani kwa hali ya juu. Si kupiga chuku ikisemekana kuwa mguu mmja huwa duniani na mwingine ahera

Madhara ya uvutaji sigara husbabishwa na kemikali zilizomo katika sigara. Sigara husheheni kemikali zaidi ya elfu nne. Nyingi za kaemikali hizi ni hatari na hudhuru. Kati ya zile zenye madhara makubwa kwa mwili wa mwanadamu an ambazo husababisha maradhi baada y kuvutwa kwa muda ni nikotini, hewa ya kaboni- monkasaidi na lami.

Kemikali hizi huingia mwilini kupitia kwa mapafu na kusababisha madhara mwilini. Baadhi ya maradhi ambayo husababishwa na uvutaji sigara ni pamoja na maradhi ya kansa, vidonda nya tumbo na shinikizo la damu. Shinikizo hili linaweza kuleta maradhi ya moyo na kupooza kaw mwili

Moshi wa sigara nao unapovutwa mwilini hingia na kugandama katika kingo za mapafu kama lami. Lami nayo huwa na sume kali anayoweza kuharibu mapafu. Umio na hufanya kuwa mwembamba ns sumu hii. Hii husbabisha kuweko kwa unyevu kama makamasi mengi. Ni muhimu kujua kuwa hata kupumua mishi wa sigara tu, kunaweza kudhuru afya yako.

Kwa kina mama wajawazito madhara ya moshi wa sigara huwa makubwa. Sigara inaweza
kuharibu mimba au kufanya motto akazaliwa kabla ya wakati kutimia. Aidha, anaweza kuzaliwa akiwa wa chini sana. Hali hizi ni hatari kwa afya na maisha ya motto kama huyo.

Watemgenezaji wa sigara wanajua pasi na shaka madhara ya sigara kwa afya ya mwanadamu. Kwa kuzinagatia hili, onyo hutolewa kwenye pakiti za sigara kuwa uvutaji una madhara kwa afya yako. Hata hivyo, si wengi ambao hutilia maanani maonyo na tahadhari hizi. Lakini kwa huwa haja yao kubwa in pato, bado humarisha utengenezaji wazo. Si ajabu kusikia kuwa ni hatia kuuza sigara katika baadhi ya nchi, hasa zilizoendelea.

Makapuni ya kutengeneza sigara hutumia hila ili kuwavutia wavutaji wengi. Kwanza, matangazo hutolewa kwa njia nyingi za mawasiliano kama vile runinga, redio na magazeti.
Nayo hunadi Starehe kuu kwa wavuaji. Kwa kuwa wanajua madhara ya sigara, huweka onyo pembeni mwa pakiti kwa maadishi madogo sana yasiyoonekana vyema wala yasiyoivutia makini ya watu.

Kunaya ni kuwa makampuni yanayotengeneza sigara ndiyo huongoza katika kuelimisha vijana walio chini ya miaka kumi na minane huhusu madhara ya sigara! Kinaya au uzandiki? huenda hii ni mbinu ya kuwahamasisha vijana kuhusu kuwepo kwa bidhaa zao ili wawe wateja wa siku za usoni. Uvutaji wa sigara unaweza kudhuru sio tu watu chini ya umri wa miaka kumi na nanem Mtu anapovuka miaka kumi na nane, bado ataathiriwa na uvutaji wa sigara! Ukweli ni kuwa uvutaji wa sigara una madhara mengi na husababisha magonjwa yanoyoangamiza tuambianie ukweli.

  1. Ipe anwani mwafaka taarifa ( alama 1)
  2. Sigara husheheni idadi ya sumu? taja tatu kati ya hizo. (alama 3)
  3. Eleza madhara mawili y uvutaji wa sigara (alama 4)
  4. Eleza hila zinazotumiwa na makapuni ya sigara kuwavutia wateja. ( alama 4)
  5. Taja sababu tatu zinazowafanya vijana kuvuta sigara. ( alama 3)
  6. Eleza maana ya msamiati ufuatao kama uliyotumiwa katika makala.
    1. Shinilizo - rika
    2. Hunadi

                                                                              SEHEMU B MATUMIZI YA LUGHA ( ALAMA 50)

  1. Sarufi ni nini. ( alama 2)
  2. Matamshi ya konsonanti za Kiswahili hubainishwa kutegemea vigezo vitatu. Vitaje ( ala4)
  3.  
    1. Eleza maana ya.
      1. sauti ghuna . ( alama 2)
      2. Sauti hafifu. ( alama 2)
    2. Orodhesha konsonanti mbilimbili ambazo ni;
      1. Vizuio – kwamiza
      2. Vipasuo vya kaakaa laini
      3. Vipasuo vya ufizo
  4.  
    1. Eleza maana ya silabi ( alama 2)
    2. Andika maneno mawilimawili yenye muundo wa silabi ya:
      1. Irabu 
      2. Silabi mwambatano
  5.  
    1. Bainisha aina za maneno katika sentensi zifuatazo. ( alama 2)
      1. Maria hufikiri sana siku hizi
    2. Nomino hizi katika ngelo gani? (alama 2)
      1. Ukuti
  6. Tulipokuwa tunaagana na sahibu Wangu aliniandikia anwani yake ambayo ni slp 5 namsore   (alama 2)
  7. Andika kwa wingi.
    Upepo wa kusini ulipeperusha bati la paa la nyumba na kuharibu kifaa muhimu. ( alama 2)
  8. Tunga sentensi yenye mapangilio ufuatao. ( alama 2)
                                                       nomino + kivumishi + kitenzi + kielezi + kielezi
  9. Tofautisha kati ya shadda na kiimbo
  10. Taja na ueleze aina mbili za ala za matamshi toa mifano kwa kila aina.
  11. Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza maana ya”
    1. Vitawe
    2. Visawa:
  12. Onyesha silabi inayowekewa shadda kwenye maneno yafuatayo.
    1. Karatasi
    2. Barabara (shwari)
    3. Barabara (njia kuu)
    4. Barabara (njia kuu)
  13. Eleza maana ya nasahau hizi
    1. Jipalia makaa
    2. Enda dalji
  14.  
    1. Tofautisha kati ya konsonanti na Irabu. (alama1)
    2. Utamkaji wa irabu hu tegemea sifa tatu zitaje. (alama3)

SEHEMU C:

ISIMU – JAMII (ALAMA 15)

  1. Eleza maana ya isimu jamii (alama3)
  2. Lugha ni nini. (alama3)
  3. Fafanua majukumu matano yanyotekezwa na lugha katika jamii.(alama 10)

SEHEMU D: FASIHI (ALAMA 20)

  1. Eleza maana ya Fasihi simulizi. (alama2)
  2. Eleza dhima ya Fasihi katika jamii. (alama5)
  3. Andika tanzu zozote tatu za Fasihi simulizi. (alama 3)
  4. Eleza tofauti tano kati ya Fasihi simulizi. Andishi. (alama10)

                                                                                     MWONGOZO WA KUSAHIHISHA

                                                                                    SEHEMU A FAHAMU (ALAMA 15)

                                                                   Soma makala yafuatayo kasha ujibu maswali yafuatayo

sigara ni mojawapo ya uraibu ambao watu wengi san hushiriki. Kila uchao vijana wa kike na kiume hujitosa katika uraibu huu hatari kwa kujua au kwa kutojua. wengine huvutiwa kuvuta sigara kwa kulazimishwa na wenzao ili waweze kukubalika katika tabaka au kundi Fulani. ushawishi wa aina ndio hujulikan kama shinikizo – rika. Wengi hawafahamu madhara ya sigara kwa vile hayonekani moja kwa moja. Madhara yake huchukua muda mrefu kabla ya kuonekana au kudhihirika. Yanapofika kiwango hiki, mvutaji huwa amefikia uharibifu wa viungo vya ndani kwa hali ya juu. Si kupiga chuku ikisemekana kuwa mguu mmja huwa duniani na mwingine ahera

Madhara ya uvutaji sigara husbabishwa na kemikali zilizomo katika sigara. Sigara husheheni kemikali zaidi ya elfu nne. Nyingi za kaemikali hizi ni hatari na hudhuru. Kati ya zile zenye madhara makubwa kwa mwili wa mwanadamu an ambazo husababisha maradhi baada y kuvutwa kwa muda ni nikotini, hewa ya kaboni- monkasaidi na lami.

Kemikali hizi huingia mwilini kupitia kwa mapafu na kusababisha madhara mwilini. Baadhi ya maradhi ambayo husababishwa na uvutaji sigara ni pamoja na maradhi ya kansa, vidonda nya tumbo na shinikizo la damu. Shinikizo hili linaweza kuleta maradhi ya moyo na kupooza kaw mwili
Moshi wa sigara nao unapovutwa mwilini hingia na kugandama katika kingo za mapafu kama lami. Lami nayo huwa na sume kali anayoweza kuharibu mapafu. Umio na hufanya kuwa mwembamba ns sumu hii. Hii husbabisha kuweko kwa unyevu kama makamasi mengi. Ni muhimu kujua kuwa hata kupumua mishi wa sigara tu, kunaweza kudhuru afya yako.

Kwa kina mama wajawazito madhara ya moshi wa sigara huwa makubwa. Sigara inaweza
kuharibu mimba au kufanya motto akazaliwa kabla ya wakati kutimia. Aidha, anaweza kuzaliwa akiwa wa chini sana. Hali hizi ni hatari kwa afya na maisha ya motto kama huyo.

Watemgenezaji wa sigara wanajua pasi na shaka madhara ya sigara kwa afya ya mwanadamu. Kwa kuzinagatia hili, onyo hutolewa kwenye pakiti za sigara kuwa uvutaji una madhara kwa afya yako. Hata hivyo, si wengi ambao hutilia maanani maonyo na tahadhari hizi. Lakini kwa huwa haja yao kubwa in pato, bado humarisha utengenezaji wazo. Si ajabu kusikia kuwa ni hatia kuuza sigara katika baadhi ya nchi, hasa zilizoendelea.
Makapuni ya kutengeneza sigara hutumia hila ili kuwavutia wavutaji wengi. Kwanza, matangazo hutolewa kwa njia nyingi za mawasiliano kama vile runinga, redio na magazeti.

Nayo hunadi Starehe kuu kwa wavuaji. Kwa kuwa wanajua madhara ya sigara, huweka onyo pembeni mwa pakiti kwa maadishi madogo sana yasiyoonekana vyema wala yasiyoivutia makini ya watu.

Kunaya ni kuwa makampuni yanayotengeneza sigara ndiyo huongoza katika kuelimisha vijana walio chini ya miaka kumi na minane huhusu madhara ya sigara! Kinaya au uzandiki? huenda hii ni mbinu ya kuwahamasisha vijana kuhusu kuwepo kwa bidhaa zao ili wawe wateja wa siku za usoni. Uvutaji wa sigara unaweza kudhuru sio tu watu chini ya umri wa miaka kumi na nanem Mtu anapovuka miaka kumi na nane, bado ataathiriwa na uvutaji wa sigara! Ukweli ni kuwa uvutaji wa sigara una madhara mengi na husababisha magonjwa yanoyoangamiza tuambianie ukweli.

  1. Ipe anwani mwafaka taarifa ( alama 1)
    • Ukweli kuhusu uvutanu sigara.
  2. Sigara husheheni idadi ya sumu? taja tatu kati ya hizo. (alama 3)
    • Nikotini
    • Hewa ya kaboni monoksaidi lami
  3. Eleza madhara mawili y uvutaji wa sigara (alama 4)
    • Huletea kansa ya mapafu, mdomo, umio koo
    • Sumu ya kaboni monoisaidi huzuia wambazaji wa chembeshemba muhimu mwilini
    • Sumu ya lalmi huathiri mapafu
    • Husababisha maradhi ya vidondal vya tumbo.
  4. Eleza hila zinazotumiwa na makapuni ya sigara kuwavutia wateja. ( alama 4)
    • Tangazo la sigara linalomwonyesha mvutaji kama mwananichezo maarufu
    • Kuweka tangazo lindoonyesha hatari za uvutaji sigara pembeni pahala ambapo halionekani vizuri.
  5. Taja sababu tatu zinazowafanya vijana kuvuta sigara. ( alama 3)
    • Wanashawishiwa na matangazo ambayo hupambwa kwa njia ya kuvutia
    • Shinikizoo na vishawishi nya wenzao
    • Kutojua madhara ya uvutaji wa sigara
    • Watoto wanawaona wazazi au ndugu
  6. Eleza maana ya msamiati ufuatao kama uliyotumiwa katika makala.
    1. Shinilizo – rika
      • Kulazimishwa sutanda jammbo la watu kwa vika moja
    2. Hunadi
      • Hutoa fangareo

                                                                          SEHEMU B MATUMIZI YA LUGHA ( ALAMA 50)

  1. Sarufi ni nini. ( alama 2)
    • Kanuni za lugha zonazotumiwa ili kupata ufasal wa usanifu katika lugha.
  2. Matamshi ya konsonanti za Kiswahili hubainishwa kutegemea vigezo vitatu. Vitage ( ala4)
    • Mahali hawa inapozuiliwa
    • Jinsi hawa inavyozuliwa
    • Hali ya mtetemeko katika nyuzi za sauti
  3.  
    1. Eleza maana ya.
      1. Sauti ghuna . ( alama 2)
        • Konsonanti zinazotokeza mtetemeko katika nuzi za sauti zianpotamkwa
        • mf,b,d, z.n.k
      2. Sauti hafifu. ( alama 2)
        • Hazitokezi mtetemoko wowote
        • p,s,t, n.k
    2. Orodhesha konsonanti mbilimbili ambazo ni;
      1. Vizuio – kwamiza
        • ch
      2. Vipasuo vya kaakaa laini
        • k,g
      3. Vipasuo vya ufizo
        • t,d
  4.  
    1. Eleza maana ya silabi ( alama 2)
      • Sehemu ya neon lenye harufi ambazo huweza kuamkwa mara moja au kwa pamoja
    2. Andika maneno mawilimawili yenye muundo wa silabi ya:
      1. Irabu                  oa ua au n.k
      2. Silabi mwambatano                 mbwa kunya bwana n.k
  5.  
    1. Bainisha aina za maneno katika sentensi zifuatazo. ( alama 2)
      1. Maria hufikiri sana siku hizi
        • N T E E
    2. Nomino hizi katika ngelo gani? (alama 2)
      1. Mwenendo
        • U - I
      2. Ukuti
        • U - IZI
  6. Tulipokuwa tunaagana na sahibu Wangu aliniandikia anwani yake ambayo ni slp 5 namsore  (alama 2)
    • Tulipokuwa tunaagara na salibu wangu aliniandikia anwani yake ambayo ni S.L.P5 Namsore
  7. Andika kwa wingi.
    Upepo wa kusini ulipeperusha bati la paa la nyumba na kuharibu kifaa muhimu. ( alama 2)
    • Upepo wa kusihi ulipeperusha mabati ya paa za nyumba na huharibu vifaa muhimu
  8. Tunga sentensi yenye mapangilio ufuatao. ( alama 2)
    nomino + kivumishi + kitenzi + kielezi + kielezi
    • Mwanafunzi mtukufu aliadhibiwa nikali sana.
    • N        V         T        E        E
  9. Tofautisha kati ya shadda na kiimbo
    • Kiimbo – Mawimbi ya sauti jinsi sauti inavyopanda na kushuka mtu anapoongea
    • Shadda – Mkazo unawekwa kwenye silabi Fulani ya nenoili liweza kutokeza maan yake halisi
  10. Taja na ueleze aina mbili za ala za matamshi toa mifano kwa kila aina.
    • Ala sogezi – viungo vyenye kusongea songea kwenye viungo vingine wakati wa kutamka
    • Ala tuli – Viungo ambavyo vimetilia au havisogei wakati wa kutoka mf meno, ujizi kaaka
  11. Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza maana ya”
    1. Vitawe
      • Maneno yenye maana zaidi ya moja
      • mf, paa ,ndege, mbuzi, kifaru
    2. Visawe:
      • Maneno yenye maana sawa
      • mf rafiki mwandari
  12. Onyesha silabi inayowekewa shadda kwenye maneno yafuatayo.
    1. Karatasi
      • Kara’tasi
    2. Barabara (shwari)
      • BA’rabara
    3. Barabara (njia kuu)
      • Bara’bara
  13. Eleza maana ya nasahau hizi (alama2)
    1. Jipalia makaa
      • Kujingiza kwenye shida
    2. Enda dalji
      • Enda kwa maringo
  14.  
    1. Tofautisha kati ya konsonanti na Irabu. (alama1)
      • Wakati wa kuzitamka irabu hewa haizuiliwi mahali popote ilahali wakati wa suzitamka kosonanti hawa huzuiliwa kwenye ala mbalimbali za kutamka.
    2. Utamkaji wa irabu hu tegemea sifa tatu zitaje. (alama3)

                                                                                                     SEHEMU C:

                                                                                         ISIMU – JAMII (ALAMA 15)

  1.  Eleza maana ya isimu jamii (alama3)
    • Matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali
  2. Lugha ni nini. (alama3)
    • Chombo cha mawasiliano
  3. Fafanua majukumu matano yanyotekezwa na lugha katika jamii.(alama 10)
    • Kuwezesha jamii kuwasiliana
    • Husaidia katika kubadilishana mawazo
    • Lugha huweka kumbukumbu
    • Hutumiwa kuelimisha kufundisah
    • Kufalamisha aya kupasha habari taarifa n.k
    • Kubududisha / kuchangamsha

                                                                                       SEHEMU D: FASIHI (ALAMA 20Eleza maana ya Fasihi simulizi. (alama2)

    • Fasiha simulizi – masimulizi au ufandaji tunaopokea au kuuwakilisha kwa mdomo
  •  Eleza dhima ya Fasihi katika jamii. (alama5)
    • Kuelimisha
    • Kuendeleza utamaduni
    • Kukuza uanii
    • Kuburudisha
    • Kioo cha jamii
    • n.t
  • Andika tanzu zozote tatu za Fasihi simulizi. (alama 3)
    • Hadithi
    • maigizo
    • semi
    • ushairi
    • mazungumzo
  • Eleza tofauti tano kati ya Fasihi simulizi. Andishi. (alama10)
     Fasihi sumulizi  Fasili andishi
     Huwasiliswa kwa mdomo
     Hilifadhiwa papo hapo
     Mali ya jamii
     Muundo wake huwa halisi
     Uzuri wake untegemea ubigwa wa   anayewasilisha jukwaani
     Maandishi
     Maandishi hayabadiliki
     Mali ya mtu binafsi
     Ngumu
     Uzuri wake unategemea usanii   wa   mwadisi
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Questions and Answers - Form 1 Mid Term 3 Exams 2023.

Tap Here to Download for 50/-

Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students

Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest