Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Form 3 Term 3 Opener Exams 2023

Share via Whatsapp

MAAGIZO

 1. Jibu maswali mawili .
 2. Swali la kwanza ni la lazima.
 3. Chagua swali jingine moja kutoka kwa matatu yaliyosalia.
 4. Kila swali lina alama 20.
 5. Kila insha isipungue maneno 400.

Maswali

 1. Wewe ni katibu wa jopo lililoteuliwa na waziri wa wa usalama nchini kutafiti sababu za ukosefu wa usalama katika nchi yako. Andika ripoti yako.
 2. Eleza vyanzo vya utovu wa nidhamu katika shule za upili nchini.
 3. Achanikaye kwenye mpini hafi na njaa.
 4. Andika insha itakayohitimika kwa ;Hapo ndipo nilipogundua kuwa mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe.

INSHA

MWONGOZO WA INSHA

 1.  
  1. Wizi.
  2. Dawa za kulevya.
  3. Ukosefu wa kazi .
  4. Umaskini.
  5. Migogoro ya ardhi.
  6. Kuvunjika kwa ndoa.
  7. Mafuriko.
  8. Ajali barabarani .
  9. Ukosefu wa vyelelezo wema.
  10. Dini.
  11. Ukosefu wa maji kwa sababu ya kiangazi.
 2.  
  1. Matumizi ya dawa za kulevya.
  2. Wizi.
  3. Vyelelezo wabaya katika jamii.
  4. Uoga wa mitihani.
  5. Ukabila.
  6. Dini.
  7. Matumizi ya nguvu zaidi wakati wa adhabu.
  8. Kushiriki mapenzi kabla ya ndoa.
 3.  
  1. Mtahiniwa atoe maana ya ndani na nje ya methali.
  2. Mtahiniwa atunge kisa cha kusisimua kitakachoafikiana na maana ya ndani ya methali.
 4. Mtahiniwa atunge kisa cha kusisimua na ni sharti kioane na kipengele cha kuhitimisha.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Form 3 Term 3 Opener Exams 2023.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest