Kenya Certificate Of Secondary Education (KCSE 2009) Kiswahili Karatasi ya Kwanza

Share via Whatsapp
Download PDF for future reference Get on Whatsapp for 50/-
INSHA YA LAZIMA
 
  1. Umealikwa kitongojini mwenu kama mgeni wa heshima katika hafla ya kuzindua kundi la wasanii wa kikwetu. Andika hotuba utakayotoa kuonyesha umuhimu wa sanaa na michezo.
  2. "Utalii una madhara mengi kuliko faida hapa nchini". Jadili.
  3. Samaki huanza kuoza kichwani.
  4. Andika insha itakayomalizika kwa: Hapo ndipo nilipotambua kuwa, kama maswala yao hayatashighulikiwa kwa dhati, vijana ni kama bomu ambalo liko tayari kulipuka wakati wowote.
 

Download Kenya Certificate Of Secondary Education (KCSE 2009) Kiswahili Karatasi ya Kwanza.


Tap Here to Download for 50/-

Join our whatsapp group for latest updates
Read 2820 times Last modified on Thursday, 18 October 2018 17:28
Print PDF for future reference