KISWAHILI KARATASI YA 2 Marking Scheme - 2017 MURANG'A MOCK EXAMINATION

Share via Whatsapp
  1. UFAHAMU
    1. Wakoloni walizipa kipaumbele lugha za kigeni katika bara la afrika na kukandamiza zile za kiasili 1 x 2 = 2
    2.  
      • ni kwa sababu lugha zimejaa maarifa mengi tangu jadi
      • lugha ni chombo cha maendeleo ya binadamu 2 x 1 = 2
    3. Hatua ya kufunza masomo yote kwa lugha ya Kiswahili 1 x 1 = 1
    4.  
      • iwapo takribu asilimia 30 ya watoto hawajifunzi lugha yao ya mama
      • ikishindwa kuhudumia jamii ipasavyo kama chombo mahsusi cha mtagusano 2 x 1 = 2
    5. Kuwa na imani kuwa lugha za kigeni ndizo zitakazofungua njia za maendeleo hapo baadaye 1 x 2 = 2
    6.  
      • marekani
      • Australia 2 x 1= 2
    7. Wizara haijajitokeza waziwazi na sera mwafaka wala mwongozo mwafaka kuhusu ufundishaji  wa lugha  ya mama. 1 x 2 = 2
    8.  
      1. takriban – karibu (kuhusu idadi)
      2. mtagusano - Hali au kitendo kinachoingilia kingine 2 x 1 = 2
  2. UFUPISHO
    1.  
      • mwanadamu tu ndiye ana uwezo wa kujua, kujifunza na kutumia lugha
      • mawasiliano ya binadamu yaweza kujumlishwa kama mawasiliano ya wanyama yalivyoendelewa
      • utafiti wa wanyama umechangia pakubwa katika ukuzaji wa uwezo wa wanyama wa kutambua.
      • binadamu wanaweza kuwasiliana na wanyama kwa kutumia njia za kipekee
      • Lengo la makala ni kuthmini na kuzamia sifa au tabia za lugha ya mwanadamu(ii) Sifa au tabia hizi ndizo zinazotofautisha lugha ya mwananadamu na aina zinginezo za mawasiliano (8 utiririko)
    2.  
      • binadamu hatumii tu kiwango cha sauti na kiwango cha maana.
      • binadamu hutamka kwa mara moja sauti na maana zikiwa zimebebana ndani kwa ndani
      • wakati anatamka na kuziunganisha sauti ndiyo wakati anaambatanisha na maana.
      • uzalishaji unaonekana katika uwezo wa binadamu kuunganisha maneno
      • mjuzi wa lugha anapaswa kuelewa tungo zilizotungwa na watu wengine
      • anapaswa kuzielewa tungo sahihi na zisizo sahihi (7  , 1 utirririko)
  3. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA
    1. sauti /o/i)
      • hutamkiwa sehemu ya nyuma ya ulimiii) hutamkwa ulimi ukiwa kati(wastani)
      • hutamkwa mdomo ikiwa imeviringwa 2 x 1 = 2
    2. kiambishi ni mofimu inayoambatanishwa kwenye mzizi wa neno ili kutoa maana tofautiftofauti kisarufi 1 x 1 =1
    3. ku – kiambishi cha nafsi ya pili umoja(wewe)
    4. kunyambua
      • pa (kutendeka) peka
      • cha (kutendewa) chewa
    5. wakati ufao hali timilifu
      mfano:
      dereva atakuwa ameegesha gari yake kati uwanja wa kasarani 1 x 1 =1
    6. mteja wangu- kirai nomino
      atawasili – kirai kitenzi
      kesho saa tatu- kirai kielezi  2 x 1 = 2
    7. sentensi  idhihirishe kivumishi:lilo hilo, yayo hayo
      nomino ziwe ni kama vile: jino, meno ua 2 x 1 = 2
    8. mfano
      mwanafunzi asomaye kwa bidii hufaulu.
      Mwanafunzi asomaye kwa bidii; tegemezi
      Hafaulu: huru
    9.  

      Sentesi ambatano

      S1

      U

      S2

      KN

      KT

       

      KN

                                 KT

      N

      T

      E

       

      O

      T

                  KN2

                     
                     

      mkulima

      alilima

      Kwa bidii

      lakini

       

      hakupata

      mazao

      mengi

    10. Shamirisho
      Barua- shamirisho kipozi
      Babu – shamirisho kitondo 2 x 1 = 2
    11. Wakati/mfano/
      Mgeni alipoingia mkutano ulianza
      Mahali/mfano/
      Mwanafunzi alienda alipokuwa baba yake 2 x 1 = 2
    12. Kuchanganua

      Alimlisha
      A
      Li        } viambishi awali
      M

      L        } mzizi wa kitenzi

      Ish     
      A       } viambishi tamati

      A- nafsi
      Li- wakati
      M- mtendewa
      Ish- kauli
      A – kiishio
    13.  
      • kufafanua kifungu au maneno yaliyotangulia
      • Mbona umeduwaa(kuzubaa)namna hii
      • kuonyesha maneno yasiyokuwa ya lazima katika sentensi(iv) nikipita mtihani wa KCSE (kma ninavyotarajia) nitajiunga na chuo kikuu(v) kuandika nambari au herufi(vi) (i), (2), (3), (a) 2 x 1 = 2
    14.  
      • hii ni sentensi ambayo huonyesha kutegemea kwa vitendo au hali 1 x 1 = 1
      • mfano
        Mwanafunzi akisoma kwa bidii atafaulu 1 x 2 = 2
    15. Visawe
      • Daktari – tabibu
      • Kisulisuli – kisunzi,kizunguzungu 2 x 1 = 2
    16.  
      • Naam!: kihisishi
      • Kabla ta: kihusishi 2 x 1 = 2
    17. Mwalimu alisema kuwa angeweza kuondoka kwake siku ambayo ingefuata asubuhi
    18.  
      • Mwenyewe : kiima
      • Chagizo: kwa dhati 2 x 1 = 2
  4. ISIMUJAMII
    1.  
      • Kiswahili ni lugha ya mseto/mahanganyiko wa lugha
      • Kiswahili ni lugha ya vizalia . ni zao la ndoa baina ya wanawake wa pwani ya afrika mashariki na wageni
      • Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa kiisimu na kihistoria 3 x 1 = 3
    2.  
      1. Misimu
        • Ni maneno au semi ambazo huzuka wakati au kipindi fulani miongoni mwa makundi ya watu na kukaa kwa muda mfupi. Yakikaa sana husanifishwa na kuwa Kiswahili sanifu
      2. Lafudhi
        • Lafudhi ni upekee wa mtu katika kutamka maneno unaotokana na athari ya lugha ya mama au ala za matamshi
      3. Pijini
        • Pijini ni lugha inayozuka kutokana na mwingiliano wa jamii mbili au zaidi ambazo hazina lugha ya mawasiliano 3 x 1 = 3
    3. Sajili ya maabadini
      • Kutoweka sehemu za kuabudu kama vile kanisani au msikitini
      • Huhusisha viongozi wa kidini kama vile maimamu na makasisi
      • Huwa na urejelezi mwingi wa jina la mungu
      • Huambatana na kurejelea na kunukuu vitabu vitakatifu
      • Huambatanqa za nyimbo za sifa kwa anayeaminiwa na wahusika
      • Mahubiri hutolewa na wahubiri huku waumini wakisikiliza
      • Huwa na lugha kunyenyekea na kutubu
      • Kuma matumizi ya ishara baina ya kiongozi na waumini
      • Hutumia mbinu ya takriri
      • Sauti hupanda na kushuka kutegemea maudhui 4 x 1 = 4
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI KARATASI YA 2 Marking Scheme - 2017 MURANG'A MOCK EXAMINATION.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest