Kiswahili Paper 1 Questions - Mumias West Pre Mock Exams 2023

Share via Whatsapp

MAAGIZO: 

  1. Andika jina lako, nambari ya usajili, tarehe na sahihi katika nafasi zilizoachwa hapo juu.
  2. Andika insha mbili; insha ya kwanza ni ya lazima. 
  3. Chagua insha nyingine moja kutoka kwa hizo tatu zilizosalia.
  4. Kila insha isipungue maneno 400.  Kila insha ina alama 20.
  5. Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
  6. Karatasi hii ina kurasa mbili zilizopigwa chapa. 

KWA MATUMIZI YA MTAHINI PEKEE. 

SWALI

UPEO

ALAMA

1

20

 
 

20

 

JUMLA 

40

 


Maswali

  1. Lazima
    Wewe ni naibu wa Mwalimu Mkuu katika shule ya Potoka. Hufurahishwi na matatizo ya kinidhamu ambayo yameongezeka shuleni humu.  Andika memo kwa wakuu wa idara mbalimbali ukilalamikia  visa mbalimbali na namna ya kukabiliana navyo
  2. Fafanua umuhimu wa magazeti kwa mwanafunzi wa shule ya upili. 
  3. Tunga kisa kitakachodhihirisha maana ya methali ifuatayo:
    Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
  4. Tunga kisa kitakachoanza kwa maneno yafuatayo:
    “Dunia rangi rangile; analolitarajia mja halipati.  Jamani maana ya methali hii, mgaa gaa na upwa hali wali mkavu ilibadilika?”  Akajisemea Ridhaa huku machozi yakimtoka njia mbili mbili….. 
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions - Mumias West Pre Mock Exams 2023.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?