KIDEGE - Robert Oduri - Mwongozo wa TUMBO LISILOSHIBA

Share via Whatsapp


Muhtasari

hupenda kwenda kubalizi upepo na kuburudishwa kwa mandhar yoke. Joy na Achesa wanaonekana wakivinjari mahaba yao katlk, bustani hii. Wanagaragazana katika viunga vya bustani hii, ilimrad tu wanajifurahisha. Mose naye anapendelea kutembelea bustan hiyo.

Katika bustani hii, kuna kidimbwi cha maji. Ndani yake visamaki vidogo vyenye rangi anuwai za kuvutia. Aidha, kidege ambacho kimezoea kuonekana hapo. Mose amezoea kubeb sima mfukoni mwake. Akifika katika kidimbwi hicho huvirushi visamaki sima. Wakati mwingine Mose huenda bustanini hapo n rafiki yake Shirandula. Shirandula yeye ni mzaliwa wa shamb

Shrandula anadai kuwa visamaki hivyo ni vidogo kuliko vil vilivyoko kijijini. Visamaki hivyo havifai kuvuliwa na kuliwa.

Siku moja Shirandula alimtegea Mose kitendawili. Kitendawi hicho kilitaka kujua ni yupi bora kati ya mjenga choo na mjeng kasri. Mose aliomba siku kadhaa ili atafakari jibu la kitendawi hicho.

Katika kutafuta majibu ya kitendawili hicho, Mose anaona mideg mikubwa yenye midomo kama panga. Midege hiyo ilikuu imekizunguka kile kidimbwi chenye visamaki vya kuvutia. Mideg ile ilikuwa ikijadiliana namna ya kujengajamii. Ndipo ikakubaliar kuwa kujenga jamii ni kula vitu vyote ambavyo yanadhani vidogo. Midege ile ikaanza kurarua vile visamaki. Mingine ilikuu ikinyanganyana.

Mose anashindwa kuifukuza ile midege. Mara kinakuja kile kide

mikubwa. Videge vile vinashuka kwa kasi ya ajabu na kuparu macho ya midege mikubwa. Vinatia sumu fulani katika macho ye ile midege. Mara midege inaanza kutapatapa na hatimaye kukimbia na kutoweka.

Mose alikuwa anashuhudia mtifuano ule wa videge vidogo dhidi ya tmdege mikubwa. Anafurahia kuiona midege mkubwa inafukuzwa na videge vidogo. Hatimaye kitendawili kinateguliwa kwa Mose kugundua kuwa mwenye choo ndiye hunya na mwenye kasri hawezi.



Anwani

  • Anwani ya hadithi hii ni Kidege. Anwani hii inasawiri maudhui yaliyomo ndani ya hadithi hii. Kidege ni ndege mdogo ambaye anaashiria wanyonge wa tabaka Ia chini. Wanyonge hawa wanakandamizwa kwa kudhulumiwa na midege mikubwa ambayo inaashiria tabaka la mabwana wenye nguvu. Hadithi hii inaeleza namna videge vilivyoungana kwa wingi wao na kuifurusha midege ambayo imevamia bustani na kuanza kuvirarua visamaki vilivyokuwa kwenye kidimbwi.


Dhamira

  • Mwandishi wa hadithi hii amedhamiria kubainisha kuwa umoja na mshikamano ndiyo nguzo imara ya mnyonge. Kama wanyonge wakishikamana, kwa umoja wao wanaweza kuondosha wavamizi wote wanaowadhulumu rasilimali na haki zao.


Maudhui

Dhuluma na Unyonyaji

Mwandishi anatumia midege mikubwa kubaini%ha suala I;

dhuluma na unyonyaji.

Videge vikubwa vinavamia bustani na kuanza kula vis vilivyokuwa katika kidimbwi.

Katika kuvizia na kunyakuwa visarnaki, midege hii inaharibl mazingira ya bustani hiyo.

Midege inajadiliana namna ya kujenga jamii. Inakubalian;

kuwa kujenga jamii ni kula kila kitu kinachoonekana kidogo kwao (Uk 92).

Hii inaashiria namna wanyonge wanavyopokonywa; rasilimali na tabaka lenye mabavu katika jamii.

Inaashiria kuwa mijadala inayofanywa na viongozi waliok( madarakani inalenga wao kujinufaisha na rasilimali za taifa Kwao, ujenzi wajamii ni kubeba rasilimali zote za taifa kw manufaa yao.

Matabaka

Hadithi hii inabainisha kuwapo kwa matabaka mawil katika jamii ambayo yako katika mapambano.

Kuna tabaka la midege mikubwa. Hii ina nguvu midomo yao ni kama mapanga.

Midege mikubwa inavamia na kutwaa vi vilivyokuwa katika kidimbwi cha bustani ya Ilala.

Tabaka hili la midege mikubwa linaashiria tabaka

timu, vilivyokuwa katika kidimbwi clot bustani ya llala. Tabaka hib la midege mikubwa linaashiria tabaka la -matajiri; watu wenye nguvu za k iuchumi katika Watu hawa hutumia nguvu zao kuwadhulumu wanyonge rasilimali na haki zao. Kwa upande mwingine kuna tabaka la videge vidogo ambalo linaashiria tabaka la wanyonge katika jamii. Tabaka hili la videge vidogo linaungana na kupambana dhidi yauvamizi wa midege. Hatimaye videge vinashinda na kuifukuza midege mikubwa

Umoja na Mshikamano

  • Hadithi hii inabainisha kuwa nguvu ya mnyonge ni umoja na mshikamano.
  • Videge vidogo vinaungana kwa wingi wao na kuamua kupambana na midege mikubwa.
  • Videge vinashikamana kuparua macho ya midege mikubwa na kuyatia sumu.
  • Videge vidogo vinashinda mapambano hayo na kufanikiwa kuifukuza midege mikubwa.
  • Hii inaashiria kuwa wanyonge wakiungana na kushikamana wanawcza kuwaondoa wanyonyaji wa rasilimali za jamii.
  • Penye umoja no mshikamano pana ushindi.

 

Muundo

  • Hadithi hii imetumia muundo wa moja kwa moja.
  • Kimeanza kisa cha Mose kutembelea bustani no kuwaona Joy na Achesa wakivinjari mahaba yao bustanini.
  • Kisha kikafuata kisa cha urafiki wa Mose, kidege na visamaki. na mapama ambayo yamefanikiwa kuiondosha midege hiyo vamizi.

Mtindo

  • Hadithi hii imetumia mtindo wa masimulizi (monolojia)kwa kiasi kikubwa
  • Kwa kiasi kidogo, mtindo wa mazungumzo umetumika.
  • Nafsi zote tatu zimetumika ingawa nafsi ya tatu imetawala kwa kiwango kikubwa

Taharuki

  • Kuna taharuki ya kujua wapi mapenzi ya Achesa na Joy yameishia. Je, baada ya bustani kuvamiwa na midege waliendelea kuvinjari eneo hilo?
  • Kuna taharuki ya kujua kama Mose alifanikiwa kuonana na Shirandula na kumpatia jibu lake. Kama alimpa jibu, kuna taharuki ya kujua kama jibu hilo lilikuwa sahihi.


Tamathali za Semi

  • Tanakali Sauti, kwa mfano: .shwii shwaa shwii shwaa shwlll. "(Uk83)...pu!, chwiii " (Uk 84)
  • Misemo na nahau, kwa mfano: . binadamu nao na hamsini zao. " (Uk87) LB
  • Taswira, kwa mfano:

Kidege/videge — huashiria watu wanyonge katika jatr, ii huashiria watu wenye nguvu za kiuchuthii

Midege —Huashiria watu wenye nguvu za kiuchumio/

kiutawala wanaowanyonga wanyonge.

Visamaki — huashiria rasilimali zinazoporwa na watu nguvu na mamlaka ya kiutawala.



Wahusika

Mose

  • Ni kijana ambaye bado ni mwanafunzi
  • Amezaliwa mjini
  • Ni rafiki yake Shirandula ambaye amezaliwa kijijini
  • Anapenda kutembelea bustani ya Ilala
  • Anapenda kutazama visamaki kwenye kidimbwi cha bustani hiyo
  • Anapenda kuvirushia visamaki hivyo sima kila anapotembelea bustani hiyo
  • Anaambiwa na Shirakunda kuwa kijijini kuna visami vikubwa kuliko hivyo vya mjini
  • Anatamani siku moja naye afike kijijini na kujionea
  • Anashuhudia midege inavyovamia, kuharibu bustani na kuia visamaki vilivyokuwa kwenye kidimbwi
  • Anashuhudia namna videge vidogo vinavyoung kupambana na midege mikubwa na hatimaye videge vibgo vinashinda

Mose anajitolea kulisha visamaki kwenye kidimbwi ambavyo vimekuja kutwaliwa na mabwana wenye nguvu

Shirandula

  • Ni rafiki yake Mose
  • Yeye amezaliwa kijijini
  • Ndiye alimwambia Mose kuwa kjijini kuna samaki wakubwa kuliko wa mjini
  • Alitega kitendawili kilichotaka kujua yupi bora kati ya mjenga choo na mjenga kasri

Umuhimu wake

  • Anarejelea vijana wenye weledi wa kueleza jambo kwa mafumbo.
  • Ameonesha kuwa na uelewajuu ya kuwapo rasilimali nyingi kijijini kuliko mjini.

Achesa na Joy

  • Hawa ni wapenzi.
  • Wanafurahia mapenzi yao katika bustani.
  • Wanapogaragazana bustanini, Achesa ananyewa na kidege puani.
  • Hata hivyo wao wanatazamana na kucheka kisha wanaendelea kufaidi huba lao.

Umuhimu

Ni kielelezo cha watu ambao wanaendelea na maisha bila kutilia manani juu ya kile kinachoendelea katika jamii.

Join our whatsapp group for latest updates

Download KIDEGE - Robert Oduri - Mwongozo wa TUMBO LISILOSHIBA.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest