KISWAHILI KARATASI YA 1 - 2017 MURANG'A MOCK EXAMINATION

Share via Whatsapp

INSHA

 1. Lazima.
  Umepata kazi ya utangazaji katika kampuni moja nchini. Umealikwa kwa mahojiano. Andika mahojiano kati yako na mkurugenzi wa kampuni hiyo (al.20)
 2. Andika kisa kitakachodhihitisha maana ya methali sikio la kufa halisikii dawa (al.20)
 3. Jadili mikakati inayotumiwa na serikali kupambana na tishio la usalama nchini (al.20)
 4. Andika kisa kitakachomalizia kwa maneno haya
  ……….nilitamani ardhi ipasuke inimeze mzima mzima. (al.20)
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI KARATASI YA 1 - 2017 MURANG'A MOCK EXAMINATION.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest