KISWAHILI KARATASI YA 1 Marking Scheme - 2017 MURANG'A MOCK EXAMINATION

Share via Whatsapp

INSHA

 1. Lazima
  • Hii ni insha ya mahojiano.
  • Mwanafunzi ajitambulishe(ajipe jina) na atambulishe mkurugenzi.
  • Mahonjiano yanapoanza yaonyeshe yalikuwa yamepangwa
  • Mtindo ni wa kitamthilia.
 2. Hii ni insha ya methali.
  • Kisa kionyeshe mhusika aliyepuuza ushauri wa mara kwa mara kisha akaathirika mwishowe.
 3.  
  • Swali hili ni la kutoa hoja zilizofafanuliwa.
  • Halina pande mbili.
  • Hoja za kupendekeza – ziwe kati ya 6-8 kutegemea hati ya mwanafunzi
    Hoja
   • Kuongezwa idadi ya askari- mafunzo yanatolewa kila mwaka, askari hufuzu kila mwaka.
   • Kutolewa ahadi za zawadi kwa wanaoripoti wahalifu.
   • Msamaha kutolewa kwa wahalifu wanaotubu/wanaobadilisha tabia.
   • Kuanzishwa kwa mpango wa nyumba kumi vijijini.
   • Kutolewa kwa nambari za dharura za polisi(hotlines) kwa wananchi.
   • Kutoa mafunzo ya kuimarisha uhusiano kati ya wananchi na polisi/askari.
   • Kamera za siri majijini na kwenye barabara.
   • Adhabu  kali kwa wahalifu wanaokamatwa.
 4. Hii ni insha ya mdokezo tamatishi.
  • Insha iishie kwa maneno haya. Asiongeze neno lolote mwishoni. Akiongeza amejitungia swali- atuzwe 01. Atumie nafsi ya kwanza.
  • Kisa kionyeshe
   1. hali ya aibu aliyoipitia
   2. hali ya mtamauko.
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI KARATASI YA 1 Marking Scheme - 2017 MURANG'A MOCK EXAMINATION.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest