- Andika insha mbili. Swali la kwanza ni la LAZIMA
- Chagua insha ya pili kutoka kwa maswali yaliyosalia.
- Kila insha isipungue maneno 400.
- Kila insha itatuzwa (alama 20.)
- Lazima
Wewe ni katibu wa vijana katika kijii chako. Andika kumbukumbu za mkutano wenu uliojadili matatizo yanayowakumba vijana. - Muungano wa Afrika Mashariki una manufaa mengi. Fafanua.
- Andika insha ya kusisimua kuhusu ‘Pilipili usioila yakuashiani?’
- Andika insha itakayomalizika kwa
………………….. hili lilikuwa jambo la ajabu ambalo sikuwa nimelishuhudia maishani mwangu.
MWONGOZO WA KUSAHIHISHA.
