Barua za Mialiko - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
 • Barua ambayo hupeleka taarifa kwa mtu kumuomba ahudhurie sherehe fulani.


Rasmi (Kadi au Barua Rasmi)

Muundo

 • Jina la mwalikaji/waalikaji (Bwana/mabwana/bibi/kasisi/daktari
 • Jina la mwalikwa
 • Sherehe (ndoa, mchango wa pesa, Kuna aina mbili za mialiko.
 • Kusherehekea/kuadhimisha…)
 • Kuhusu nani
 • Mahali pa kukutanika
 • Tarehe
 • Wakati
 • Anwani na nambari ya simu ya mwalikaji ambapo jibu litapelekwa kushoto chini (Majibu kwa…wima)


Kirafiki (Barua ya Kirafiki)

 • Sehemu ya mwili itoe habari zote muhimu katika mwaliko
Join our whatsapp group for latest updates

Download Barua za Mialiko - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest